Video: Zuhura Yunus ulikuwa unaogopa nini?

Bashiru amekuwa mkali mpaka anamtisha mdada wa watu, Bashiru ukiulizwa swali jibu, sio unaulizwa na wewe unajibu kwa kuuliza, tena kwa sauti ya ukali, tulieni hii ndio Tanzania ya watanzania, na Lissu ndio chaguo letu.
 
Naichukia ccm sana pamoja na waliomo

Wagombea wa ccm waliwekewa mapingamizi ya haki kabisa lakini yalikataliwa, wagombea wa upinzani waliwekewa mapingamizi yasiyo na mashiko, yakakubaliwa.

Mfano Mgombea ubunge wa ccm huko Njombe, Ndg. Mwanyika, wiki kama mbili alikuwa amekiri kosa la kuhujumu uchumi na akalipa faini, na kosa hilo kisheria linakuzuia kugombea nafasi ya kisiasa. Lakini pingamizi lilikataliwa, hivyo mhujumu uchumi ni mgombea ubunge kupitia ccm

Gwajima jina alilojaza kwenye form sio lile lililo kwenye vitambulisho vyake, lakini ni mgombea wa ccm

Mifano ni mingi. CCM kuweni wakweli. Bashiru acha unafiki na umevaa barakashia
 
Yaani mgombea wao alivyo kilaza hata kuhojiwa na waandishi wa Habari nguli tu hataki na Anakimbia!! Mbaya zaidi ndo anataka watanzania tumchague!!! Thubutu yake!!!

Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu!
Hako ka wakala kenu ka beberu nani akape kura?

Hii ngoma ndio imeondoka hadi 2025.
 
ni ushindi
IMG_20201020_213934.jpg
 
Bashiru amekuwa mkali mpaka anamtisha mdada wa watu, Bashiru ukiulizwa swali jibu, sio unaulizwa na wewe unajibu kwa kuuliza, tena kwa sauti ya ukali, tulieni hii ndio Tanzania ya watanzania, na Lissu ndio chaguo letu.
Lakini Kama vile amenadi sera ya CDM! amezungumuzia
1-:Uhuru:- kwamba watu wanataka huru! na wao wsmetunyima uhuru!
2- Amezungumuzia maendeleo ya
watu, nawao vipaombele vyao ni vitu!! hivyo katibu mkuu ameungana na kamanda Lisu kuzungumuza ukweli!!
 
Kwanza, tafuteni historia ya Bashiru, Bashiru akiwa UDSM. alikuwa mkosoaji mkuu wa ombwe la uongozi wa kipindi hicho!! najua yupo ccm kwa ajili ya tumbo tu!!

Lakini mapenzi yake na fikira zake zipo kwenye mabadiliko ya kweli!!

Chakubanga nae, alikuwa mkosoaji mzuri!! yupo huko aliko kwa ajili ya tumbo tu!!

Mpango wa jiwe kununua watu wasio kuwa maccm og, ndio unaenda kumugharimu!!

Minajua Magufuli yuko pekee yake ktk uchaguzi huu!!
We huoni jinsi wanavyo mharibia???

Mara mwingine atangaze jinsi wanavyo ishi kwa maisha ya anasa!!
Wakati wake zetu wakienda kujifungua wanalipishwa elfu 70,000
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom