Video:Z’bar inatisha kwa uingiaji na utumiaji wa madawa ya kulevya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video:Z’bar inatisha kwa uingiaji na utumiaji wa madawa ya kulevya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Jun 18, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=1][/h]Written by makame silima // 18/06/2011 // Habari, Vidio // 3 Comments


  Juu ya jitihada za Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Shariff kufungua nyumba za wenye kuwasha kutumia Drug (SOBER HOUSES), lakini bado utumiaji nimkubwa na hutuma za nyumba hizo misada nimidogo.
  Ukiangalia utumiaji wa madawa yakulevya Zanziba vijana wengi wa ki-Zanzibar tayari wameshaasirika kwa kutumia wa madawa yakulevya.
  Hivi sasa kila ktk familia ya kizanzibar basi wana mtoto wao au jamaa yao anatumia madawa yakulevye, juu yakwamba ukiwauliza vijana kwa nini wanatumia madawa hayo?.
  Jibu hupati,utaskia wanaondowa mawazo kutokana na maisha magumu na kutokuwa na lakufanya kikubwa humalizia ktk kijiwe.
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,747
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  ..hilo nalo sijui mtasingizia ni Muungano.
   
Loading...