Video za nyimbo 10 bora za wakati wote zilizoweza kufikisha ujumbe kama ilivyokusudiwa

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,935
22,919
1. I LOVE YOU – CATHOLIC MT. THERESIA
Hii nyimbo kama wahusika walifanya mazoezi ndipo wakaenda shoot video basi walifanya mazoezi ipasavyo.Nimependa jinsi wanavyocheza mwanzo mpaka mwisho,nimependa ujumbe unaotoka kwenye huu wimbo ni wimbo ambao ukipigwa hata kama upo pembeni na mama watoto mmenuniana wiki nzima mtajikuta mnasogeleana sogeleana ugomvi wote kwisha. Mzuri sana sana.

2.STAREHE – FEROOZ
Hii nyimbo nikiangaliaga video yake naonaga kama ferooz aliimba kitu cha wakati ujao,unajua wasanii wengi wanaimba ila wanaimba vitu ambavyo tunapitia ktk maisha ila ni wachache sana wanaoweza imba kitu kikadumu wakati uliopo mpk wakati ujao,ndio mana nyimbo nyingi zina expire date kwasababu wengi wanaimba nyimbo za LEO na si za kesho.

Ukiacha uzuri wa video hii lakini ujumbe unaotoka kwenye huu wimbo hunifanya nizidi kuogopa na nipunguze kiherehere na haya maisha,nikiangalia uhusika aliouvaa ferooz,doctor mpk wale wagonjwa pale hospital asee hii video kwangu ni 1 ya video bora kbsa ktk maisha yangu.

3.NITAREJEA – DIAMOND PLATNUM
Kila ninapoangalia hii video huwa najikuta namwonea huruma mke wa diamond (hawa) anapoagwa na mume wake,si mke tu hata mume anapomuaga mke wake ni moment flani ya huzuni sana ni kama mtu uonyeshwe siku yako ya mwisho ni leo uambiwe aga uwapendao,basi ile moment unavyowaaga sasa,hujui kama mtaonana lini tena ni zaidi ya simanzi,naupenda huu wimbo sana una uhalisia sana kwenye video yake.

4. NANI KAMA MAMA – CHRISTIAN BELLA
Hii nyimbo muhusika amemwiimbia mama na kumsifu na kumshukuru pia,ukiangalia video ya hii nyimbo utakubaliana namimi kuwa muimbaji alijua kutoa ujumbe na zaidi video yake huwezi choka kuiangalia ni mpya kila siku machoni, hii ni moja ya nyimbo ambayo nikiskiaga watu (hasa mzee wangu) akisema muziki ni uhuni,nainuka taratibu naenda chomeka flash nyuma ya tv kimya kimya halafu na play huu wimbo nasubiri ukifika kat kat nabadilisha au nautoa,utamsikia mshua akilalamika kuwa nina kiherehere..Hapo ndipo ninaposhindwa muelewa mzee wangu ki ukweli.

5.MANUKATO – FANUEL SEDEKIA
Katika matukio kama haya huwa natamani hata jioni ya leo nione tabasamu la MUNGU wangu maana najua anatabasamu,anafurahi anavyotuona, Hebu kwa kutambua Mbinguni wanatuangalia tuinue mikono juu tuwapungie namna hii (kwa imani namna hii) “anapunga mkono”

Sio maneno yangu ni maneno unayoyapata kabla wimbo wa manukato haujaaanza,asee napenda hicho kipande nahisi namuona sedekia live,nilimpenda sedekia lakini zaidi huu wimbo nikiusikiliza na kuangalia video yake asee ni 1 ya nyimbo zangu bora sana za dini.

6.UPENDO WA KWELI – AMBWENE MWASONGWE
Huu wimbo una simulizi inayotia huzuni sana mpaka najaribu kuvaa uhusika wa Yule kijana aliyesabbisha wimbo uitwe UPENDO WA KWELI najiona sitoshei kabisa,duniani kuna watu nyie ni simulizi ya kweli kbisa ya kijana aliempenda binti chizi kabisa,upendo ule wa mume na mke sio upendo ule wa agape.

Alimpenda chizi wake vile vile lakini Mungu alivyo wa ajabu akaja kumponya Yule dada uchizi,ki ukweli nawazaga Yule dada amemchukuliaje Yule mume wake baada ya kusimuliwa jamaa alianza mpenda akiwa ktk hali gani,nawazaga wee mwisho na hitimisha kwa kujiambia UPENDO wa kweli upo ktk matendo,naupenda huu wimbo sana.

7.MUNGU BABA – JOAN WAIRIMU
Maisha ya ndoa ni mazuri sana kama utaishia kuangalia ule wimbo wa I love you pale juuu,lakini ukitaka kugundua ndoa ina mambo ndani yake Angalia trela la video ya huu wimbo kabla haujaanza.

Hii video ni nzuri wakati wote maishani mwangu kwasababu ni video iliyobeba uhalisia kiaasi kwamba unaweza ukahisi director wa hii video alichukua camera akaenda tegesha ndani ya nyumba 1 yenye migogoro na kutoelewana huoni kama ni maigizo ni kama unaangalia kitu halisi kabiisaa.

Ujumbe wa huu wimbo na wimbo wenyewe hunifanya kila ninaposikiliza huu wimbo nilie sana,ni moja ya nyimbo ambazo sishauri mtu mwenye mapito magumu azisikilize au kuangalia kwasababu badala ya kupata nguvu ataumia mara 5 ya pale alipo,moja ya video na wimbo bora kwangu wakati wote.

8. SI ULINIKATAA – Q CHILLAH
Historia ya kijana aliekataliwa na baba ake tangu akiwa tumboni kwa mama ake,inatia huzuni na inafikrisha ki ukweli ni stori flani mtu unaweza ichukulia kawaida lakini ipo na kuna mtu sasa hivi anaipitia,Huu wimbo unanikumbusha huko nyumaaa kwenye 1 ya mapito yangu basi najikuta naupenda siuchoki hata kidogo.

9.WATU NA VIATU – NYOTA NDOGO
Wimbo unaongelea aina ya marafiki ma snitch yani Yule ambae ukiwa nae meno nnje,ukigeuka ukampa mgongo mambo ni tofauti ni wale watu waliojivisha ngozi ya kondoo kumbe ndani ni ma fisi mwitu.

Huu wimbo huplay part kama rafiki angu ninapokua home nau play au nikiwa zangu tu mahali nausikiliza,huniondoa kwenye majuto eti kwann sina marafiki maana mimi ni wale watu wasio na marafiki kabisaaa,rafiki angu ni kazi zangu tu na Mungu wangu.

Sasa ninapokuaga zangu kwenye zile sehemu zangu nimetulia halafu ghafla naskia huu wimbo huwa nasuuzika moyo vibaya mno,ni moja ya nyimbo bora sana kwangu wakati wote.

10.IT'S NOT EASY – LUCKY DUBE
Kijana alimpigia simu mama ake anamwambia mama Naoa nimepata mke mzuri,mrembo,ananipenda sana, Mama ake kwenye simu akamuuliza Kijana wangu “una uhakika na huyo binti”? umeweza chukua muda wako kumchunguza zaidi? Kijana akamjibu Mama “ndio mama” nimemchunguza vya kutosha.

Baada ya miaka kadhaa kijana akaachana na Yule mwanamke talaka ileeeee kila mtu na hamsini zake,ki ukweli nikisikilizaga hii nyimbo nakuaga rasta faree haswaa maana naingiaga ktk mawazo basi akipita mdada mbele yangu namuangalia weeee mwisho najisemea Moyoni Mungu nisaidie “nipe mke mwema” sipendi kuachana jamani,yani mimi ktk vitu nitachelewa fanya basi ni kuoa si kwamba naogopa NDOA ila naogopa zile break ups kufunga ndoa leo baaada ya miaka 3 mmeachana asee ni bora nikae na mama watoto hivi hivi bila ndoa,tutumiane hela za matumizi weee kama kuachana tuachane huku huku nnje sio tufike ndani ya ndoa asee.

Namwambiaga daily maza mjengo nikiongea nae namwambia Naomba tafadhali nisaidie sana kama unanipenda nisije imba huu wimbo miaka ijayo,huu wimbo anajua naupenda na akinikuta nausikiliza utamskia ananifata ananiambia “I love you hun” kisha ananiacha,naupenda huu wimbo lakini naupenda kwasababu una vitu ambavyo vinaniifanya niwe makini sana na haya maisha na maneno yangu.

Hizo ni 10 bora za controla kwa wakati wote chini ya jua kuanzia mashairi mpaka video zake yani kila kitu ktk hizo nyimbo kwangu ni maana tosha ya nini maaana halisi ya msaniii hawa watu wameweza ku play part zao kwa kiasi kikubwa sana kupitia hizi nyimbo.
 
1. Lucky Dube - The Way It is.

2. Sia - The Greatest.

3. London Beats - Thinking About You.

4. AY ft Sauti Sol - I Dont Wanna be Alone.

5. Mejja ft Bro - Niko Poa (Barua).

6. Magic System - Gauo

7. Jaguar - Matapeli.

8. Ambwene Mwasongwe - Misuli ya Imani.

9. Spark & Tundaman ft Madee - Nipe Ripoti.

10. Bushoke ft Chameleone - Mama Rhoda.

Unforgetable
 
Nipe Ripoti - Spack Ft Tunda Man

Mwana Mkiwa - Ferooz

Wachumba 30 - John Mjema Ft Spider

Nikisaidiaje - Professor Jay

Maria Nalia - Abby Skillz Ft Blue & Alikiba

Wauguzi - Wagosi Wa Kaya

Traffic - Wagosi Wa Kaya

Kitendawili - Jobiso

Nibeep baby - Mike Tee

Achana nao - Sister P Ft Mad Brain & Alichoki

Naogopa - Said Hasan

KIKONGWE - Picco

Inaniuma Sana - Juma Nature

T Shirt na Jeans - University Corner

Siri Yangu - Lady Jay Dee

Ombi Langu - Spack (Hii jamaa alimuimbia mtu kikweli kweli)

Jirani - Twanga Pepeta

Mume wa Mtu - Dataz Ft Joan
 
1. I LOVE YOU – CATHOLIC MT. THERESIA
Hii nyimbo kama wahusika walifanya mazoezi ndipo wakaenda shoot video basi walifanya mazoezi ipasavyo.Nimependa jinsi wanavyocheza mwanzo mpaka mwisho,nimependa ujumbe unaotoka kwenye huu wimbo ni wimbo ambao ukipigwa hata kama upo pembeni na mama watoto mmenuniana wiki nzima mtajikuta mnasogeleana sogeleana ugomvi wote kwisha. Mzuri sana sana.

2.STAREHE – FEROOZ
Hii nyimbo nikiangaliaga video yake naonaga kama ferooz aliimba kitu cha wakati ujao,unajua wasanii wengi wanaimba ila wanaimba vitu ambavyo tunapitia ktk maisha ila ni wachache sana wanaoweza imba kitu kikadumu wakati uliopo mpk wakati ujao,ndio mana nyimbo nyingi zina expire date kwasababu wengi wanaimba nyimbo za LEO na si za kesho.

Ukiacha uzuri wa video hii lakini ujumbe unaotoka kwenye huu wimbo hunifanya nizidi kuogopa na nipunguze kiherehere na haya maisha,nikiangalia uhusika aliouvaa ferooz,doctor mpk wale wagonjwa pale hospital asee hii video kwangu ni 1 ya video bora kbsa ktk maisha yangu.

3.NITAREJEA – DIAMOND PLATNUM
Kila ninapoangalia hii video huwa najikuta namwonea huruma mke wa diamond (hawa) anapoagwa na mume wake,si mke tu hata mume anapomuaga mke wake ni moment flani ya huzuni sana ni kama mtu uonyeshwe siku yako ya mwisho ni leo uambiwe aga uwapendao,basi ile moment unavyowaaga sasa,hujui kama mtaonana lini tena ni zaidi ya simanzi,naupenda huu wimbo sana una uhalisia sana kwenye video yake.

4. NANI KAMA MAMA – CHRISTIAN BELLA
Hii nyimbo muhusika amemwiimbia mama na kumsifu na kumshukuru pia,ukiangalia video ya hii nyimbo utakubaliana namimi kuwa muimbaji alijua kutoa ujumbe na zaidi video yake huwezi choka kuiangalia ni mpya kila siku machoni, hii ni moja ya nyimbo ambayo nikiskiaga watu (hasa mzee wangu) akisema muziki ni uhuni,nainuka taratibu naenda chomeka flash nyuma ya tv kimya kimya halafu na play huu wimbo nasubiri ukifika kat kat nabadilisha au nautoa,utamsikia mshua akilalamika kuwa nina kiherehere..Hapo ndipo ninaposhindwa muelewa mzee wangu ki ukweli.

5.MANUKATO – FANUEL SEDEKIA
Katika matukio kama haya huwa natamani hata jioni ya leo nione tabasamu la MUNGU wangu maana najua anatabasamu,anafurahi anavyotuona, Hebu kwa kutambua Mbinguni wanatuangalia tuinue mikono juu tuwapungie namna hii (kwa imani namna hii) “anapunga mkono”

Sio maneno yangu ni maneno unayoyapata kabla wimbo wa manukato haujaaanza,asee napenda hicho kipande nahisi namuona sedekia live,nilimpenda sedekia lakini zaidi huu wimbo nikiusikiliza na kuangalia video yake asee ni 1 ya nyimbo zangu bora sana za dini.

6.UPENDO WA KWELI – AMBWENE MWASONGWE
Huu wimbo una simulizi inayotia huzuni sana mpaka najaribu kuvaa uhusika wa Yule kijana aliyesabbisha wimbo uitwe UPENDO WA KWELI najiona sitoshei kabisa,duniani kuna watu nyie ni simulizi ya kweli kbisa ya kijana aliempenda binti chizi kabisa,upendo ule wa mume na mke sio upendo ule wa agape.

Alimpenda chizi wake vile vile lakini Mungu alivyo wa ajabu akaja kumponya Yule dada uchizi,ki ukweli nawazaga Yule dada amemchukuliaje Yule mume wake baada ya kusimuliwa jamaa alianza mpenda akiwa ktk hali gani,nawazaga wee mwisho na hitimisha kwa kujiambia UPENDO wa kweli upo ktk matendo,naupenda huu wimbo sana.

7.MUNGU BABA – JOAN WAIRIMU
Maisha ya ndoa ni mazuri sana kama utaishia kuangalia ule wimbo wa I love you pale juuu,lakini ukitaka kugundua ndoa ina mambo ndani yake Angalia trela la video ya huu wimbo kabla haujaanza.

Hii video ni nzuri wakati wote maishani mwangu kwasababu ni video iliyobeba uhalisia kiaasi kwamba unaweza ukahisi director wa hii video alichukua camera akaenda tegesha ndani ya nyumba 1 yenye migogoro na kutoelewana huoni kama ni maigizo ni kama unaangalia kitu halisi kabiisaa.

Ujumbe wa huu wimbo na wimbo wenyewe hunifanya kila ninaposikiliza huu wimbo nilie sana,ni moja ya nyimbo ambazo sishauri mtu mwenye mapito magumu azisikilize au kuangalia kwasababu badala ya kupata nguvu ataumia mara 5 ya pale alipo,moja ya video na wimbo bora kwangu wakati wote.

8. SI ULINIKATAA – Q CHILLAH
Historia ya kijana aliekataliwa na baba ake tangu akiwa tumboni kwa mama ake,inatia huzuni na inafikrisha ki ukweli ni stori flani mtu unaweza ichukulia kawaida lakini ipo na kuna mtu sasa hivi anaipitia,Huu wimbo unanikumbusha huko nyumaaa kwenye 1 ya mapito yangu basi najikuta naupenda siuchoki hata kidogo.

9.WATU NA VIATU – NYOTA NDOGO
Wimbo unaongelea aina ya marafiki ma snitch yani Yule ambae ukiwa nae meno nnje,ukigeuka ukampa mgongo mambo ni tofauti ni wale watu waliojivisha ngozi ya kondoo kumbe ndani ni ma fisi mwitu.

Huu wimbo huplay part kama rafiki angu ninapokua home nau play au nikiwa zangu tu mahali nausikiliza,huniondoa kwenye majuto eti kwann sina marafiki maana mimi ni wale watu wasio na marafiki kabisaaa,rafiki angu ni kazi zangu tu na Mungu wangu.

Sasa ninapokuaga zangu kwenye zile sehemu zangu nimetulia halafu ghafla naskia huu wimbo huwa nasuuzika moyo vibaya mno,ni moja ya nyimbo bora sana kwangu wakati wote.

10.BEAUTIFUL WOMAN – LUCKY DUBE
Kijana alimpigia simu mama ake anamwambia mama Naoa nimepata mke mzuri,mrembo,ananipenda sana, Mama ake kwenye simu akamuuliza Kijana wangu “una uhakika na huyo binti”? umeweza chukua muda wako kumchunguza zaidi? Kijana akamjibu Mama “ndio mama” nimemchunguza vya kutosha.

Baada ya miaka kadhaa kijana akaachana na Yule mwanamke talaka ileeeee kila mtu na hamsini zake,ki ukweli nikisikilizaga hii nyimbo nakuaga rasta faree haswaa maana naingiaga ktk mawazo basi akipita mdada mbele yangu namuangalia weeee mwisho najisemea Moyoni Mungu nisaidie “nipe mke mwema” sipendi kuachana jamani,yani mimi ktk vitu nitachelewa fanya basi ni kuoa si kwamba naogopa NDOA ila naogopa zile break ups kufunga ndoa leo baaada ya miaka 3 mmeachana asee ni bora nikae na mama watoto hivi hivi bila ndoa,tutumiane hela za matumizi weee kama kuachana tuachane huku huku nnje sio tufike ndani ya ndoa asee.

Namwambiaga daily maza mjengo nikiongea nae namwambia Naomba tafadhali nisaidie sana kama unanipenda nisije imba huu wimbo miaka ijayo,huu wimbo anajua naupenda na akinikuta nausikiliza utamskia ananifata ananiambia “I love you hun” kisha ananiacha,naupenda huu wimbo lakini naupenda kwasababu una vitu ambavyo vinaniifanya niwe makini sana na haya maisha na maneno yangu.

Hizo ni 10 bora za controla kwa wakati wote chini ya jua kuanzia mashairi mpaka video zake yani kila kitu ktk hizo nyimbo kwangu ni maana tosha ya nini maaana halisi ya msaniii hawa watu wameweza ku play part zao kwa kiasi kikubwa sana kupitia hizi nyimbo.
Ongezea hapo
NIKUSAIDIAJE _ PROFESA JAY MNYAMAAAAAA
 
17. Binadamu wabaya_ Diamond
18. Kivuruge_ Nandy
19. Slave_ Luck Dube hii Ngoma video yake jamaa aliitendea haki sana, yaani utasema jamaa nimlevi kweli na alijaribu kuonyesha madhara ya pombe.

20.walimu_ wagosi wa kaya hii nyimbo mwalimu wangu wa shule ya msingi alikua anaifeel sana

21. Jayd_ malaika, nakweli maisha yanachanganya mpaka unatamani kuwa malaika

22. Jayd_ faraja ( kuna line inatia hudhuni anasema, nimshauza nyanya bagia na karanga faida sikuona, nyumba niliyopanga nimefuzwa, ona barabara wanavyo ombaomba daah yaani nikisikilizaga hii line najikuta nalia mwenyewe

Kamanda_ Daz nunda, vijana walijaribu kuelezea uhalisia wa kifo na wimbo unaoishi kwakweli

MWISHO
 
1. They don't care about us- Michael Jackson

2. Its all coming back to me- Celine Dion

3. Sometimes love ain't enough- Pat Smith

4. Pesa- Tunda Man

5. Nitarejea- Diamond

6. Lala salama- Diamond

7. Mapenzi yana run dunia- Ali Kiba

8. Starehe- Feruz

9. Mama Kijacho- Tunda man

10. Nimechoka- Keisha ft. Diamond
 
Mmmh mkuu mbona umeanza na za Magharibi zikafuata za nyumbani, huoni unakosa uzalendo
 
AY-Binadamu

Verse 1
Usiombee mambo yaharibike.
Pesa usiishike, mfano wa mti upukutike.
Utaonekana si lolote si chochote.
Utaonekana karaha kwa watu siku zote.
Walimwengu hawatakupa mikono.
Magonjwa yatakuvuta ndani ya shimo.
Utakata tamaa, utaandama na balaa.
Pumzi hutovuta kwa raha, kweli usiombee kuwahi.
Survive for fittest; never trust nobody in this world of weakness
Watakukana hata kama ndugu zako.
Watadiriki sema hawajui hutokako
Mama acha kulia, Hayo uliyonayo ni majaribu tu ya dunia. Ipo siku mambo yako yatatulia.
Utasahau hata Mabaya ya zamani uliyopitia ooh hii dunia‚

Chorus
Bagalalinaa, Gendo kole,
You should think about tomorrow
Not only today
Bagalalinaa, Gendokolee
Uuh, Gendokoleee
Yeeeh

Verse 2
Wapo wapi marafiki uliokuwa nao
Enzi zile pesa imekutembelea
Wako wapi sasa? Hawapo wamekukimbia
Sasa huko waliko tayari wanakukandia.
Ada ya watoto hujalipia, kodi ya chumba nayo unadaiwa,
unazidi changanyikiwa. Hata unajuta oh kwanini ulizaliwa.
Piga moyo konde, Maisha uyashinde.
Bado safari ndefu yenye miba na mabonde
Usiweke kinyongo hata kama walikutupa
Remain strong in this world.
Don't be jealous, Dats all‚

Chorus
Bagalalinaa, Gendo kole,
You should think about tomorrow
Not only today
Bagalalinaa, Gendokolee
Uuh, Gendokoleee
Yeeeh

Bridge
Binadamu sio watu.
Ukiwa na shida hutowaona.
Ona sasa wamekimbia.
Ona sasa wamekimbia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom