Video za ngono zinazovujishwa kila wakati zimekuwa kero sasa

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Asilimia 99% Video za Ngono zinazosambazwa basi aliyevujisha ni Mwanaume. Wanaume tumekuwa watu Wapumbavu na Wabinafsi kupita maelezo hivi unawezaje kumrecord mwanamke then unavujisha hili kumwaribia CV yake
Ukivujisha unafaidika na nini. Wanaume mbona wanazidi kuwa watu wa ajabu sana.

Ila wanawake wanateseka jamani Unakuta Katelekezewa mtoto kila kitu ni yeye. Mambo yote ya ajabu wanawafanyiwa wanawake. Hivi Mwanaume unajiskiaje kuvujisha Video ya mwanamke sawa na mama yako.

Wanaume ndo tunaongoza kwa dhambi huku duniani. Hii yote kwa sababu ya ubinafsi, upumbavu na roho mbaya.

Wanaume kwanini Msiwa heshimu hawa wanawake kama mnavyowaheshimu Mama zetu.

Obviously Nashukuru sijajaliwa Upumbavu na Ubinafsi namuheshimu mke wangu kama navyomuheshimu Mama yangu.
 
Mkuu jiite Mwenyewe mpumbavu sio utuite Wanaume wote wapumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume badiliken heshimuni wanawake
Tukiachilia mbali suala la kuzisambaza hizo video tuanzie hatua za mwanzo kabisa. Inakuwaje mtu unakubali kurekodiwa video mkiwa faragha tena anaekurekodi yeye amejificha sura yake haonekani?

Unategemea nini kwa situation kama hiyo? Wanaume walaumiwe ila pia katika hizo lawama msiwaache na hao wanawake nyuma.

Wote mwanamke na mwanaume hawajielewi. Msitupe lawama upande mmoja wakati ujinga umefanywa na wote.
 
Asilimia 99% Video za Ngono zinazosambazwa basi aliyevujisha ni Mwanaume. Wanaume tumekuwa watu Wapumbavu na Wabinafsi kupita maelezo hivi unawezaje kumrecord mwanamke then unavujisha hili kumwaribia CV yake
Ukivujisha unafaidika na nini. Wanaume mbona wanazidi kuwa watu wa ajabu sana.

Ila wanawake wanateseka jamani Unakuta Katelekezewa mtoto kila kitu ni yeye. Mambo yote ya ajabu wanawafanyiwa wanawake. Hivi Mwanaume unajiskiaje kuvujisha Video ya mwanamke sawa na mama yako.

Wanaume ndo tunaongoza kwa dhambi huku duniani. Hii yote kwa sababu ya ubinafsi, upumbavu na roho mbaya.

Wanaume kwanini Msiwa heshimu hawa wanawake kama mnavyowaheshimu Mama zetu.

Obviously Nashukuru sijajaliwa Upumbavu na Ubinafsi namuheshimu mke wangu kama navyomuheshimu Mama yangu.
Labda hujui wewe.
Iko hivi, sehemu ambayo shetwani hawezi kwenda basi atamtuma mwanamke.
 
demu mbaya vile jamaa kazama uvinza ?
Zile njino zilizokosa ushirikiano zipo kinywa cha juu tu. Kinywa cha chini ni Smuuusi kabisa. Jamaa kapiga ulimi kwa raha kabisa.
Na ile sauti yenye mafua daima ikiwa kama kionjo cha ndege mwanana.

Ila simlaumu jamaa. Kuliko kula denda mixer kamasi (maana demu ana flu sugu isiyopona) na msuguano wa meno yale, kaona isiwe kesi bora ajipigie zake deki kwenye mdomo usiokuwa na meno.
 
Sina hakika kama kuna utimamu wa kiakili kwenye kurekodi. Mtu unapokubali kuhifadhi kumbukumbu kwenye kifaa cha kielectroniki, jua kuwa siku itafika hiyo kumbukumbu itapata mahali pa kutokea na itasambaa.

Wanaovujisha ni watu wazima na wenye fahamu zao. Hivyo, wa kulaumiwa ni wote wanaopotoka kimaadili mpaka kufikia hatua ya kurekodi video na kupiga picha za faragha.

Tusikubali lawama upande mmoja hasa zinazotuunganisha kwenye kundi moja la wapotofu sisi wanaume.
 
Back
Top Bottom