Mmawia JF-Expert Member Aug 20, 2013 121,947 95,237 Dec 25, 2020 #1 Wana jamvi tafadhalini tuitazame na kuisikiliza hii video kwa umakini maana ina ujumbe muhimu wa kutibu vidonda vyetu. Mimi Mmawia nawatakieni sherehe njema za noeli.
Wana jamvi tafadhalini tuitazame na kuisikiliza hii video kwa umakini maana ina ujumbe muhimu wa kutibu vidonda vyetu. Mimi Mmawia nawatakieni sherehe njema za noeli.
J johnthebaptist JF-Expert Member May 27, 2014 83,898 141,836 Dec 25, 2020 #2 Wafikishie huu ujumbe hapo Ufipa waambie siasa siyo uadui! CCM hailipi ubaya kwa ubaya ndio maana mawaziri 6 wametokea Chadema asilia!
Wafikishie huu ujumbe hapo Ufipa waambie siasa siyo uadui! CCM hailipi ubaya kwa ubaya ndio maana mawaziri 6 wametokea Chadema asilia!