Video yaWimbo Muziki ya Darassa yaweka record nyingine You Tube

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
45,406
2,000
VIDEO ya Wimbo Muziki ya Darassa Yaweka Rekodi Nyingine YouTubeRapper Darassa ameendelea kuweka rekodi mpya katika muziki wake kupitia video yake ya wimbo Muziki ikiwa ni siku 28 toka kazi hiyo iwekwe katika mtandao wa YouTube.

Wimbo huo umemfanya Darassa kuwa juu zaidi katika muziki kwa wakati huu kutokana na wimbo huo kupigwa katika kila kona ya jiji la Dar es salaam pamoja na Tanzania nzima.

Wiki hii video ya wimbo wake huo imefikisha zaidi ya views milioni 2,039,741 ndani ya siku 28 tangu iwekwe kwenye mtandao wa Youtube. Ni nadra sana kwa msanii anayerap kufikisha idadi hiyo ya views katika kipindi hicho.

Wimbo huo kwa muda mfupi umemfanya Darassa awe miongoni mwa wasanii wanaotafutwa sana kwa show wakati huu.

Install App ya Udaku Special Kwenye Simu yako HAPA Kupata Hizi Habari Kirahisi

21
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,357

huyu handsome nammezea mate sana mie walahi
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
45,406
2,000
Tungependa kujua historia ya Darassa, wazazi wake, amesoma wapim maisha yake kabla ya kuwa mwana muziki., ameshakuwa big celebrity sasa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom