Video yamuumbua Trump na uongo wake wa kulipua ndege ya Iran

muqawama

Member
Jun 21, 2010
41
183
Mwezi June 20, 2019 Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya kiislamu *IRGC*
walidungua ndege ya Kisasa kabisa ya Kijasusi isiyo na Rubani ya Marekani aina ya *RQ-4A Global Hawk BAMS-D*
kwa Kombora la Balistiki.

Dunia nzima ilishtushwa na kushangazwa na umahiri huo wa Iran.

Serikali ya Raisi Donald Trump katika kutapata kutaka kuficha aibu hiyo akakurupuka na akaamuru Majeshi ya Marekani kushambulia Iran kulipiza kisasi.

Lakini ghafla ndani ya dakika 10 baadaye raisi Trump alifuta amri yake hiyo. Kwa kile kinachoominika wasiwasi wa radiamali (Retaliation) ya Jeshi Iran kwa Vikosi vya Marekani na washirika wake Mashariki ya Kati.

Leo Alfajiri Tarehe July 19, 2019. Raisi Donald Trump akaja na Propaganda mpya na kutangazia dunia kuwa Manuari ya Kijeshi la Marekani aina ya *USS Boxer*
imeshambulia na kusambaratisha Ndege ya Iran isiyo na Rubani, baada ya Ndege hiyo kukiuka Amri ya kutosogelea Manuari hiyo.

Lengo la Propaganda hii ilikuwa ni kuonyesha dunia kuwa Marekani ina uwezo wa kukabiliana na Jeshi la Iran katika Mlango bahari wa Hormuz.

MAKOSA KATIKA PROPAGANDA HII

1) Kwanza lilikuwa ni tangazo la Kisiasa lilitolewa na Raisi Trump badala ya Kamandi ya Vikosi vya Maji au Mkuu wa Majeshi ya Marekani wenye Utaalamu na weledi wa Maelezo ya Kijeshi.

2) Mpaka sasa hakuna Mabaki yoyote yalioonekana popote kuthibitisha Madai ya kusambaratishwa Ndege isiyo na Rubani ya Iran.

3) Hakuna Video au Picha ya kawaida yoyote iliyorekodiwa na Marekani ikionyesha Shambulizi la kombora kutoka katika Manuari ya Kijeshi USS Boxer.

4) Hakuna Utambulisho wowote wa jina, na au Aina ya Ndege ya Iran iliyoangushwa kwani kila ndege ina utambulisho wake

IRAN YAMUAIBISHA RAISI TRUMP NA JESHI LAKE

Muda mfupi baada ya tangazo la kisiasa na propaganda la Raisi Trump na madai ya kuishambulia Ndege isiyo na Rubani ya Iran.

Idara ya Habari na Mawasiliano ya Jeshi la walinzi wa Mapinduzi ya kiislamu ya Iran *IRGC*
walikanusha kwa kusema ...."hakuna Ndege yoyote ya Iran iliyoanguka popote Dunia. Na kuwa ndege zote zilizokuwa katika kazi ya ulinzi zilirejea katika Vituo vyake salama."

Aidha Iran ikatangaza kuwa tofauti na propaganda za Amerika zisizo na Ushihidi, Kwa upande wao muda mfupi watatoa Video iliyorekodiwa kutoka katika Ndege isiyo na rubani iliyokuwa ikifuatilia nyendo zote za Manuari hiyo ya *USS Boxer*
Na wataithibitishia dunia kuwa muda wote manuari hiyo ya Marekani ilikuwa katika Rada yao tangu ilipoingia katika mlango bahari wa Hormuz mpaka ilipotoka. Aidha Ndege hiyo Iran isiyo na rubani ilipokamilisha kuchukua Picha hizo ilizituma picha zote katika kituo cha Mawasiliano bila tatizo lolote na ndege hiyo ilirejea katika kituo chake salama.

Huu ni uthibitisho kuwa Manuari zote za kijeshi za Marekani zipo ndani ya Rada ya Makombora ya Iran. Na kwa Video hii Marekani Leo tena imeabika mbele ya dunia mara nyingine na Propaganda zao dhidi ya Taifa tukufu la Kiislamu la Iran.

Tizama hapa Video iliyotolewa na Jeshi la walinzi wa Mapinduzi matukufu ya Kiislamu. Ikionyesha Ndege ya iran isiyo na Rubani inavyofuatilia Nyendo za Manuari ya Marekani yenye jina USS Boxer.

http://bit.ly/2xXprKc
http://bit.ly/2y0yLg0
 
Sikuamini njiliposikia trump anasema. kimoyo moyo nikajisemea ngoja tusubiri ushahidi.
Mzee mima kaaibika
 
Umesoma ushuzi ungetumia kufanya mambo mengine ungefaidika. Ficha ujinga mkuu, mleta uzi kaleta Habari why don't just ignore it uendelee na mambo yako kuliko kuonesha ujinga wako mkuu
I see a dog in you
IMG-20190719-WA0005.jpeg
 
Mwezi June 20, 2019 Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya kiislamu *IRGC*
walidungua ndege ya Kisasa kabisa ya Kijasusi isiyo na Rubani ya Marekani aina ya *RQ-4A Global Hawk BAMS-D*
kwa Kombora la Balistiki.

Dunia nzima ilishtushwa na kushangazwa na umahiri huo wa Iran.

Serikali ya Raisi Donald Trump katika kutapata kutaka kuficha aibu hiyo akakurupuka na akaamuru Majeshi ya Marekani kushambulia Iran kulipiza kisasi.

Lakini ghafla ndani ya dakika 10 baadaye raisi Trump alifuta amri yake hiyo. Kwa kile kinachoominika wasiwasi wa radiamali (Retaliation) ya Jeshi Iran kwa Vikosi vya Marekani na washirika wake Mashariki ya Kati.

Leo Alfajiri Tarehe July 19, 2019. Raisi Donald Trump akaja na Propaganda mpya na kutangazia dunia kuwa Manuari ya Kijeshi la Marekani aina ya *USS Boxer*
imeshambulia na kusambaratisha Ndege ya Iran isiyo na Rubani, baada ya Ndege hiyo kukiuka Amri ya kutosogelea Manuari hiyo.

Lengo la Propaganda hii ilikuwa ni kuonyesha dunia kuwa Marekani ina uwezo wa kukabiliana na Jeshi la Iran katika Mlango bahari wa Hormuz.

MAKOSA KATIKA PROPAGANDA HII

1) Kwanza lilikuwa ni tangazo la Kisiasa lilitolewa na Raisi Trump badala ya Kamandi ya Vikosi vya Maji au Mkuu wa Majeshi ya Marekani wenye Utaalamu na weledi wa Maelezo ya Kijeshi.

2) Mpaka sasa hakuna Mabaki yoyote yalioonekana popote kuthibitisha Madai ya kusambaratishwa Ndege isiyo na Rubani ya Iran.

3) Hakuna Video au Picha ya kawaida yoyote iliyorekodiwa na Marekani ikionyesha Shambulizi la kombora kutoka katika Manuari ya Kijeshi USS Boxer.

4) Hakuna Utambulisho wowote wa jina, na au Aina ya Ndege ya Iran iliyoangushwa kwani kila ndege ina utambulisho wake

IRAN YAMUAIBISHA RAISI TRUMP NA JESHI LAKE

Muda mfupi baada ya tangazo la kisiasa na propaganda la Raisi Trump na madai ya kuishambulia Ndege isiyo na Rubani ya Iran.

Idara ya Habari na Mawasiliano ya Jeshi la walinzi wa Mapinduzi ya kiislamu ya Iran *IRGC*
walikanusha kwa kusema ...."hakuna Ndege yoyote ya Iran iliyoanguka popote Dunia. Na kuwa ndege zote zilizokuwa katika kazi ya ulinzi zilirejea katika Vituo vyake salama."

Aidha Iran ikatangaza kuwa tofauti na propaganda za Amerika zisizo na Ushihidi, Kwa upande wao muda mfupi watatoa Video iliyorekodiwa kutoka katika Ndege isiyo na rubani iliyokuwa ikifuatilia nyendo zote za Manuari hiyo ya *USS Boxer*
Na wataithibitishia dunia kuwa muda wote manuari hiyo ya Marekani ilikuwa katika Rada yao tangu ilipoingia katika mlango bahari wa Hormuz mpaka ilipotoka. Aidha Ndege hiyo Iran isiyo na rubani ilipokamilisha kuchukua Picha hizo ilizituma picha zote katika kituo cha Mawasiliano bila tatizo lolote na ndege hiyo ilirejea katika kituo chake salama.

Huu ni uthibitisho kuwa Manuari zote za kijeshi za Marekani zipo ndani ya Rada ya Makombora ya Iran. Na kwa Video hii Marekani Leo tena imeabika mbele ya dunia mara nyingine na Propaganda zao dhidi ya Taifa tukufu la Kiislamu la Iran.

Tizama hapa Video iliyotolewa na Jeshi la walinzi wa Mapinduzi matukufu ya Kiislamu. Ikionyesha Ndege ya iran isiyo na Rubani inavyofuatilia Nyendo za Manuari ya Marekani yenye jina USS Boxer.

http://bit.ly/2xXprKc
http://bit.ly/2y0yLg0
Safi sana Iran na russia wana mahusiano ya muda mrefu sana. Kwa hiyo tech yake pia ni nzuri. Trump ni bwege
 
Back
Top Bottom