Video ya unyama ya wanafunzi waliopigwa na kuchomwa moto na wanakijiji kwa tuhuma ya wizi wa simu

kiladay

Senior Member
Aug 20, 2011
156
5
Watu wa mjini hupenda kusema: "Wizi noma ila unyama balaa" Huu ni zaidi ya unyama, zaidi ya ukatili uliokithiri uliofanywa na wanakijiji wenye mioyo ya jiwe iliyokosa nyama. Tukio hili limetokea tu baada ya tuhuma za wizi wa simu iliyoelekezwa kwa wanafunzi wadogo wa chuo cha UNIPORT kuvuliwa nguo, kupigwa na mwisho kuchomwa moto.


Mungu azilaze roho za marehemu hawa mahala pema peponi. Amina.

Video hii hapa:
kilaDay - Video ya wanafunzi wanne waliopigwa na kuchomwa moto na wanakijiji kwa tuhuma za wizi wa simu
 
Back
Top Bottom