Video ya tik tok mtu anayevunjwa shingo je nikweli?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,383
30,835
Tik tok Kuna video imesambaa jamaa anamvunja mwenzake shingo ambae kalala anaonekana amekufa halafu baada ya kuivuta shingo anainyonga nyonga watu wengi wameitag na kuonyesha reaction zao sambamba na hiyo video.
 
Screenshot_20210919-230424.png
 
Hao watu wa pembeni wamejirekodi wakionyesha reaction za hiyo video
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom