Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
March 9 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Joseph Magufuli aliingia kwenye headlines baada ya kwenda kumtembelea na kumjulia hali makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad kwenye hoteli ya Serena Dar es Salaamambako anapata mapumziko baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya Hindu Mandal alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Hii ndio video ya Rais Magufuli alipomtembelea Maalim Seif Shariff Hamad