Video ya Mahubiri ya Askofu Mwingira yaondolewa mitandaoni

Kiongozi wa dini anapoanza kuongea kwa vijembe huyo ni mnafiki,, hii ina include askofu shoo,
Kwanini wasiwe wa wazi tu kama yule askofu wa chadema,, (yule mwembamba),au mzee wa upako at least,,
Kiongozi wa dini kupiga vijembe ni upumbavu uliovuka mipaka
Hivi watu wanataka kukutoa roho halafu unataka waitwe malaika embu fikiria kama ni wewe
 
Shida ni vitendo afanye mwingine, lawama apewe mwingine,, wakati tuko kwenye healing process, ilitakiwa hekima tu iwasukume hawa watu kuepukana na lugha za maudhi na za kimhemko, lakini wapi...
Hiyo healing process imesababishwa na majeraha yaliyosababishwa na Nani? Kama kuna mtu alisababisha hayo majeraha kwa taifa si shetani huyo?
 
Hotuba japo sijaisikia, headline tu inaonyesha, askofu anaongozwa na mihemko, pamoja na dharau za kimtikila kwa marais wa kiislamu,, sababu tu wanakuwa si madikteta.

Hawa jamaa washagundua viongozi wenye imani ya kiislamu wanakuaga na hekima too much,, jambo linalowafanya watu mbalimbali wajaribu kuwatikisa tikisa na kuwa provoke.

Hii tendency ilianza tangu zama za Ruxa,, kipindi kina mtikila, Pengo, etc walivyokuwa wakimnanga mzee Ruxa bila woga wowote,, tofauti na walivyofanya kipindi cha nyerere, mkapa, au chuma
Unahukimu kwa kitu usichokisikia ujahidina unakusumbua tu
 
Kuna facts gani hapo? Unaweza muita mkuu shetani?
Swali lako halina mantiki. Unaonaje ukaleta usahihi kwa nini asiitwe shetani?

Kuna wakati mwingine weka fani yako pembeni and let us face the truth.

Bush aliitwa shetani ktk kikao cha UN. Hata Yesu mwenyewe aliitwa Beelzebul yaani mkuu wa maahetani. Sembuse huyo umuitaye mkuu
 
Acha upumbavu, huwezi kumuita mkuu wa nchi shetani
Huyu inapaswa akamatwe aseme ikulu gani Ina shetani.
Mpuuzi sana huyu mjinga wa mwisho
Shetan Ana tatizo gani?au umekalilishwa tu?unamfaham shetan?ulishamuona?au unasoma tu?kwa Iman zenu HIZO za kukalilishwa
 
Enzi za chuma watu kama hawa walikua hawakohoi kabisa, maana yule ukicheza anafuta taasisi yako na hakuna kitu utamfanya,,
"Huwezi kuwa msaliti alafu ukabaki salama''
Gwajima alinyooka na kuwa mfuasi mtiifu kweli kweli,
Ombi langu, makonda arudishwe na apewe wizara ya habari, ili watu watie adabu
Pamoja na Uchuma wake Yuko wapi?
 
Back
Top Bottom