VIDEO YA KONGAMANO LA KATIBA CHUO KIKUU MLIMANI Dar-es-Salaam

Kwani nilazima avae uniform ya chama chake hata ktk kongomano la Katiba ya Watz? ukereketwa wa chama unamahala pake jamani! hata hivyo Mnyika ametoa mawazo yake na huenda yuko sawa ila msaada wa Wanasheria waliobobea kama Isa Shivji ktk kongomano hilo tunaomba mwenye video yao kama ipo!

Kadogoo achana na mavazi, hiyo ni issue ndogo. Lakini si umeshuhudia Mh. Mnyika anavyotema cheche??..
Kwa taarifa yenu hiyo ni trela tu, picha yenyewe ndiyo infuata
 
Back
Top Bottom