Video ya Jussa ziarani USA: Siri ya kigeugeu cha Kikwete kuhusu Katiba yaanikwa

IMG-20150228-WA0073.jpg
 
kwani jusa anatofauti gani na majuha wengine jamaa akili hana kabisa hili lipo wazi sana.
 
Halafu mnasema CCM sio wabaguzi kwa kauli zako za kijuha kama hizi?

Halafu bado mnataka kura za wapemba?

Lakini mbona ipo wazi sana kuwa cuf lengo lao ni kuleta utawala wa kiarabu zanzibar.
 
Yeyote yule ambaye hakubaliani na Serikali yenu iliyojaa wadhalimu na chama chenu kilichojaa wahuni, wauza unga, wezi, wauaji wa albino, majangili na magaidi ni juha. Nyinyi tu ndio wenye akili timamu . Sasa kama mna akili sijui ni kipi kinawashinda kuendesha nchi mpaka kunakuwa hakuna maendeleo na wafadhili kugoma kutoa pesa zao kutokana na wizi na ufisadi uliokithiri hadi ndani ya Ikulu.

kwani jusa anatofauti gani na majuha wengine jamaa akili hana kabisa hili lipo wazi sana.
 
Yeyote yule ambaye hakubaliani na Serikali yenu iliyojaa wadhalimu na chama chenu kilichojaa wahuni, wauza unga, wezi, wauaji wa albino, majangili na magaidi ni juha. Nyinyi tu ndio wenye akili timamu . Sasa kama mna akili sijui ni kipi kinawashinda kuendesha nchi mpaka kunakuwa hakuna maendeleo na wafadhili kugoma kutoa pesa zao kutokana na wizi na ufisadi uliokithiri hadi ndani ya Ikulu.

Nyie wenye akili mnatawaliwa na wasio na akili, kizungumkuti.
 
Lakini mbona ipo wazi sana kuwa cuf lengo lao ni kuleta utawala wa kiarabu zanzibar.

Msiende kuwaomba wapemba kura

Yani nyie nyoka wenye makengeza roho zenu mbaya hadi shetani anawaogopa sasa..manake mmemzidi
 
Unanchekesha.

Ujue bibi mie nia yangu iko pale pale..Tafaadhali natamani sana kukuhorojoa kifoxy foxy..........Nimepata taarifa unatumia mitandao yote ya simu.....Nitakuja unipatie ule mtandao wenye promotion nyingi kwa sasa
 
Back
Top Bottom