Video ya Hausigeli aliponaswa AKIKOJOLEA chombo cha kumpikia chakula bosi wake....Inahuzunisha sana.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082


<iframe id="f257c74fb8" name="ff2c9342c" scrolling="no" title="Like this content on Facebook." class="fb_ltr" src="http://www.facebook.com/plugins/like.php?api_key=&channel_url=http%3A%2F%2Fstati c.ak.facebook.com%2Fconnect%2F xd_arbiter.php%3Fversion%3D28% 23cb%3Df9e1569%26domain%3Dwww. gumzolajiji.com%26origin%3Dhtt p%253A%252F%252Fwww.gumzolajij i.com%252Ff17149bb7%26relation %3Dparent.parent&colorscheme=light&extended_social_context=false&href=http%3A%2F%2Fwww.gumzolaj iji.com%2F2013%2F12%2Fvideo-ya-hausigeli-aliponaswa.html&layout=standard&locale=en_US&node_type=link&sdk=joey&send=true&show_faces=false&width=450" style="position: absolute; border-style: none; overflow: hidden; height: 20px; width: 450px;"></iframe>


Binti mmoja ambaye ni mfanyakazi wa ndani ( Housegirl ) amenaswa live na kamera zilizofungwa jikoni na bosi wake akikojoa ndani ya jiko na kisha kuuchukua mkojo na kuuchanganya na chakula cha bosi wake.....


Kwa mujibu wa maelezo ya bosi huyo ( jina limehifadhiwa ) , kamera hizo za siri zilifungwa jikoni mwake siku chache baada ya kustushwa na mienendo ya mfanyakazi huyo.



Angalia video fupi ya hapo chini ya unyama wa huyu housegeli.




 
Last edited by a moderator:
Binadamu ni kiumbe wa ajabu!
Hiki kitendo ni kiovu ....lakini kuna uwezekano mkubwa kuna mazingira yamepelekea wafikie hapa!
Mpaka kufikia kuweka kamera lazima kuna kitu
Hawa dada wanaotufanyia kazi wameshikilia sehemu kubwa ya maisha yetu tuwaheshimu
Ukiona ameshindwa kutahmini heshima uanayompa achana naye kwa amani kabisa!
HAKUNA HAJA YA KUGOMBANA !
GOMBANA NA SHAMBA BOI LAKINI SIO DADA WA KAZI!
 
hii video ya kizushi itakuwa ni clip tu ya kutengeza, habari inasema camera imetegeshwa lakin ukiangalia vizuri ni mtu ana record, source yenyewe gumzo la jiji, habari kibao za kidaku, udaku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom