Video ya Hausigeli aliponaswa AKIKOJOLEA chombo cha kumpikia chakula bosi wake....Inahuzunisha sana.

hii video ya kizushi itakuwa ni clip tu ya kutengeza, habari inasema camera imetegeshwa lakin ukiangalia vizuri ni mtu ana record, source yenyewe gumzo la jiji, habari kibao za kidaku, udaku.
Mkuu hata kama hii picture ni fake,lakinio haya mambo yapo kwenye jamii!
 
hii video ya kizushi itakuwa ni clip tu ya kutengeza, habari inasema camera imetegeshwa lakin ukiangalia vizuri ni mtu ana record, source yenyewe gumzo la jiji, habari kibao za kidaku, udaku.
Mkuu hata kama hii picture ni fake,lakini haya mambo yapo kwenye jamii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom