Video ya Gari Yangu ya Young D, Kielelezo cha Ukosaji wa Ubunifu wa Wasanii Wetu

mzee jaribu kuelewa,ile gari iliyoimbwa pale ni ideal car!!haipo Tanzania au hata Duniani!!ungekuwa wewe ungeweka gari gani?mfano nyimbo ya Ngwair geto langu aliimba miaka hiyo ilo geto halikuwepo,lakini kwa sasa mageto kama aliyoyaimba yapo!!shika pensel,sikiliza nyimbo alafu chora hilo gari lililoimbwa uone utapata gari ya aina gan!@Shakir,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yeye ndo hajaelewa!point yangu ni si kila kinachoimbwa basi kwenye video kitokee,unaposikia nyimbo audio unakuwa na picha yako kichwani video inavyotakiwa iwe,lakini video zingine ukiangalia ni tofauti na expectations zako,na huu ndo maana ya Usanii!!

Nmetolea mfano wa kwaya tu,lakini kuna nyimbo nyingi sana duniani kinachoimbwa na kuonekana ni tofauti,na hii yote si bahati mbaya ila ni kubadilisha mitazamo tu ya watu!!
hujaelewa au unataka malumbano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano nyimbo ya Rayvanny anasema "kiportable kama Dayna,shape ya billga,she got eyes from china,shape from America"

kwenye video umemuona msichana alie elezewa kwenye audio??@Shakir,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Young Dee alikua zamani Bwana.

“Kijukuu”
“Nimekasirika” kashirikishwa na Nyandu

Ila kuanzia Bongo Bahati Mbaya, Noma kweli, etc hakuna kitu.
 
Kuna mambo mawili hapa,
Inawezekana Mwenye wimbo Carlos N alimaanisha Gari kweli Ila Young Dee akaja kumaanisha demu. Sababu kwenye Original Version ya Carlos anaonekana akiwa na AUDI muda wote akiisifia.

All in all since Young D ameiba tu idea Basi hata kama hajaweka Gari Sio wa kum judge Sana. Wimbo Sio wake so hata akiuharibu sintoshangaa. Refer "Cha Mtu,... vi"
 
Hahahaaa hii ni sanaa brother
ni sawa wimbo unaitwa gari yangu ila jaribu msikiliza vzuri utaelewa hyo gar anayoizungumzia n mwanamke mzuri katumia fasihi kuwasilisha hilo

Kama n mfuatiliji mzuri wa music tafuta wimbo flan wa disaster unaitwa CM YA DADA same to na hii gari yangu coz jamaa anazungumzia mwanamke anaetumia maumbile yake kujipatia kipato
 
Kwani uongo?😂😂😂
Tangu huo wimbo utoke sikuwahi kuona video ya wimbo ila kila nilipokuwa nausikia nilikuwa napata picha ya video queen mwenye umbo matata. Ila wiki chache zilizopita nikaona video yake, aiseee.....niliishiwa nguvu.😂😂😂😂😂
 
Tangu huo wimbo utoke sikuwahi kuona video ya wimbo ila kila nilipokuwa nausikia nilikuwa napata picha ya video queen mwenye umbo matata. Ila wiki chache zilizopita nikaona video yake, aiseee.....niliishiwa nguvu.😂😂😂😂😂
Hii nyimbo ingetoka miaka hii tungeshuhudia namba nane za kutosha za kisasa

Tatizo zamani kuku wa kienyeji walikuwa wengi zaidi
 
Hii nyimbo ingetoka miaka hii tungeshuhudia namba nane za kutosha za kisasa

Tatizo zamani kuku wa kienyeji walikuwa wengi zaidi
Kweli aise, naamini hata mwenye wimbo akiuangalia sasa hivi anajiona mkosefu sana mbele za mashabiki wake, lazima atakuwa anasononeka.😂😂😂😂. Ila ni bonge la wimbo.
 
Back
Top Bottom