Video ya ccm kuhusu sera na ilani kuelekea uchaguzi 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video ya ccm kuhusu sera na ilani kuelekea uchaguzi 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bagamoyo, Oct 8, 2010.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 3,926
  Likes Received: 1,595
  Trophy Points: 280
  Mtaalamu wa Sera CCM - Wilson Mukama anadai
  • Sera Zinatekelezeka ( sio Zakufikirika /Utopia)
  • CCM inawawezesha Watanzania kwa Maarifa (Wakati jukwaani wanasema Elimu bure ni ndoto)
  • CCM inajua wingi wa rasilmali za Tanzania ( wakati huo huo wawekezaji wa nje wanatudanganya mfano sekta ya madini)
  • Elimu na Afya bure CCM inategemea zaidi sekta binafsi ziiboreshe (Fikra mbadala Afya na Elimu ni jukumu la serikali kutokana na wananchi kuwa masikini)
  • CCM kuwawezesha wakulima na watanzania kwa masoko na viwanda vya kusindika (Wakati mazao ya wakulima yanaoza Rukwa, Mbeya na Ruvuma)
  Video kwa hisani ya TANGIBOVU WA YOUTUBE


  Sehemu ya Pili
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...