tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,955
Hiyo chato Nani alikuwa anataka kuifanya kuwa mkoa
Ni wapi na ni lini alitamka kwamba anataka Chato iwe Mkoa!???
Kama ni swala la miradi basi ni mikoa mingi miradi imepelekwa, na katika ngazi ya Wilaya basi Wilaya ya Dodoma mjini ndio kinara wa kupelekewa miradi mingi kuanzia uwanja wa ndege wa kisasa, Ikulu, wizara zote na taasisi za kiserikali, soko kuu la kisasa, stendi mpya ya kisasa na miradi ya barabara na mingne mingi mingi
Kama alipeleka miradi hii yote Wilaya ya Dodoma, kwann msiseme kwamba alitaka kuifanya Wilaya ya Dodoma iwe mkoa mpya ikijitenga kutoka ktk Wilaya za Kondoa, Kibaigwa, Kongwa zinazounda mkoa wa Dodoma...!????
Kwann iwe nongwa kwa Wilaya ya Chato au kule ni Burundi
Narudia tena kuuliza ni lini na wapi alitoa tamko la kutaka Chato iwe mkoa!????
Tujaribuni kujibu hoja kwa uhalisia na sio hisia