Video ya Aliyekuwa Rais awamu ya Tano hakikataa utitiri wa Mikoa, Awamu ya Sita anaweza kuipitia kama Funzo

tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
969
1,000
Hiyo chato Nani alikuwa anataka kuifanya kuwa mkoa

Ni wapi na ni lini alitamka kwamba anataka Chato iwe Mkoa!???

Kama ni swala la miradi basi ni mikoa mingi miradi imepelekwa, na katika ngazi ya Wilaya basi Wilaya ya Dodoma mjini ndio kinara wa kupelekewa miradi mingi kuanzia uwanja wa ndege wa kisasa, Ikulu, wizara zote na taasisi za kiserikali, soko kuu la kisasa, stendi mpya ya kisasa na miradi ya barabara na mingne mingi mingi

Kama alipeleka miradi hii yote Wilaya ya Dodoma, kwann msiseme kwamba alitaka kuifanya Wilaya ya Dodoma iwe mkoa mpya ikijitenga kutoka ktk Wilaya za Kondoa, Kibaigwa, Kongwa zinazounda mkoa wa Dodoma...!????

Kwann iwe nongwa kwa Wilaya ya Chato au kule ni Burundi

Narudia tena kuuliza ni lini na wapi alitoa tamko la kutaka Chato iwe mkoa!????

Tujaribuni kujibu hoja kwa uhalisia na sio hisia
 
Matrix19

JF-Expert Member
Feb 24, 2020
2,879
2,000
Naona mnajaribu kumsafisha kweri kweriiii...haha waambie waongeze posho hapo Lumumba ya kulinda legacy uchwara.

Na by the way niulize aliyetaka kuifanya chato sijui chatu mkoa ni nani??

Nani aliyefanya wasted investment kama kujenga hospital kubwa , airport tawi la CRDB kwenye eneo lenye catchment ndogo kuichumi na ile route ya kisiasa ya ATCL kwenda huko kijijini !alishindwa nini kuiboresha Geita?
 
greenwoods

JF-Expert Member
Sep 21, 2020
1,226
2,000
Are you serious!!

Kwenye msiba wake kule Chato,Askofu wa kanisa katoliki Jimbo la Rulenge -Ngara ,Mhashamu Baba Askofu Severine NiweMugizi katikati Misa ya kumuombea Marehemu JPM alisema "Marehemu alikuwa anataka Chato iwe mkoa"Mwisho wa kunukuu.
Unataka kusoma kuwa Askofu alisingizia?
Kumbe alisema askofu na sio magufuli
 
msonobali

JF-Expert Member
May 23, 2015
958
1,000
Ni wapi na ni lini alitamka kwamba anataka Chato iwe Mkoa!???

Kama ni swala la miradi basi ni mikoa mingi miradi imepelekwa, na katika ngazi ya Wilaya basi Wilaya ya Dodoma mjini ndio kinara wa kupelekewa miradi mingi kuanzia uwanja wa ndege wa kisasa, Ikulu, wizara zote na taasisi za kiserikali, soko kuu la kisasa, stendi mpya ya kisasa na miradi ya barabara na mingne mingi mingi

Kama alipeleka miradi hii yote Wilaya ya Dodoma, kwann msiseme kwamba alitaka kuifanya Wilaya ya Dodoma iwe mkoa mpya ikijitenga kutoka ktk Wilaya za Kondoa, Kibaigwa, Kongwa zinazounda mkoa wa Dodoma...!????

Kwann iwe nongwa kwa Wilaya ya Chato au kule ni Burundi

Narudia tena kuuliza ni lini na wapi alitoa tamko la kutaka Chato iwe mkoa!????

Tujaribuni kujibu hoja kwa uhalisia na sio hisia
Huoni aibu kuhoji miradi inayopelekwa makao makuu ya nchi?
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,626
2,000
..jambo la msingi ni kupeleka huduma za kijamii na kiutawala ktk ngazi ya wilaya ili wananchi wasisumbuke kufuata huduma hizo makao makuu ya mkoa.
 
Kimbuge

Senior Member
Dec 28, 2019
158
250
Ni wapi na ni lini alitamka kwamba anataka Chato iwe Mkoa!???

Kama ni swala la miradi basi ni mikoa mingi miradi imepelekwa, na katika ngazi ya Wilaya basi Wilaya ya Dodoma mjini ndio kinara wa kupelekewa miradi mingi kuanzia uwanja wa ndege wa kisasa, Ikulu, wizara zote na taasisi za kiserikali, soko kuu la kisasa, stendi mpya ya kisasa na miradi ya barabara na mingne mingi mingi

Kama alipeleka miradi hii yote Wilaya ya Dodoma, kwann msiseme kwamba alitaka kuifanya Wilaya ya Dodoma iwe mkoa mpya ikijitenga kutoka ktk Wilaya za Kondoa, Kibaigwa, Kongwa zinazounda mkoa wa Dodoma...!????

Kwann iwe nongwa kwa Wilaya ya Chato au kule ni Burundi

Narudia tena kuuliza ni lini na wapi alitoa tamko la kutaka Chato iwe mkoa!????

Tujaribuni kujibu hoja kwa uhalisia na sio hisia
Punguza uongo, kuna wilaya ya kibaigwa? Ikulu ipo wilaya ya Dodoma? Tofautisha Chato na wilaya ya Dodoma, hiyo ni makao makuu ya mkoa wa Dodoma

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,342
2,000
Jibu swali langu la msingi,, ni wapi na ni lini Hayati Dr Magufuli alisema anataka Chato iwe mkoa!??
Mwombolezaji ucheara ndiye anataka chato iwe Mkoa kwa kukopakopa ardhi za wengine. Ask of Niwemgizi Anasingiziwa hakusema na mama naye akaunga, sijui mizigo hii ya kuwatunza wapenda vitambi kama katibu tawala na mkuu wa mkoa hizi hela wanawaza vinatoka wapi kulisha watu bure eti kisa mwombolezaji kasema
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom