Video: Will Smith amchapa kibao mtangazaji wa TV wa Ukraine baada ya kutaka kumbusu mdomoni

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=3]Huyu ndio kidume sio Ubama kutuzalilisha Watu weusi na wafrika kuhalalisha ushafu.[/h]

article-2146590-132B3169000005DC-199_634x513.jpg

Smith akimchapa kibao Vitalii Sediuk

Will Smith alikuwa nchini Urusi akiitangazia filamu yake mpya ya Men In Black 3, ndipo alipokuwa akisalimiana na mtangazaji wa TV wa Ukraine Vitalii Sediuk ambaye alimkumbatia na kisha kutaka kumbusu katika mdomo kitendo ambacho Will Smith kilimkasirisha na kumfanya ampige kibao cha shavu mwandishi huyo.

Will Smith alisikika akimwambia mwandishi huyo "Hey, wewe ni tatizo lako?"

Nyota huyo wa The Fresh Prince alimwambia mwandishi mwengine kuwa "Alikuwa anajaribu kunibusu mdomoni"

"Ana bahati sijataka kumpiga ngumi".

Video:




Posted by Roy Snr. at 12:13







Bonyeza vidio

Roy's Group: Video: Will Smith amchapa kibao mtangazaji wa TV wa Ukraine baada ya kutaka kumbusu mdomoni
 
Kwani Will Smith ni Mwanasiasa wa Tanzania? Hii Habari haifai hapa... Au tunakuwa kichwa Ngumu?

Where is our MODS????
 
Kakke, unaaibisha Forum kutuletea mambo yasiompendeza mungu.

Kasome vyema habari hiyo utaijua unaonekana hata hujaisoma.

Kuna upuuzi wanapromote hao, sio kila ukionacho ukibebe na kukileta JF ni kujidhalilisha.

Shame on u
 
its seriously provocative,racist and political .Its not the first time will amekuwa akitegwa na ushoga.Na wazungu wanajua mwangusha mtu kirahisi sana.
Alishawahi pewa scene ya movie aplay km shoga,akachomoa na Denzel washington akamuunga mono kwa kugoma na kuhimiza sibusu mtu.Sasa hawa jamaa wa East Europe bado ubaguzi haujawatoka ndio maana bado wanapigana vita za kipumbavu.Wale wahuni wa kutawala dunia wanataka mtumia km star wa ushoga.

Hapa wamefanya homework yao vizuri na hapa walitaka ateleze tuu ili kichuliwe kitu, na mambo ya new world order yaendelee.

Hawa masuper star ni wakubwa kuliko marais wa nchi nyingi duniani.Kwa aiyeamini basi awe anafuatilia ziara zao jinsi zinageuka kuwa state visits. Hata wakienda mapumziko huwa wanakuwa na fargha na wakuu wa hizo nchi so tofauti ktk ya siasa na mengine hapa ni ndogo sana.
Sijui km ameweza kimbia realy trap au lah,ila inaonyesha jinsi gani hata wanasiasa wetu wanavyo ingizwa mjini kila kukicha.Hivi virais vyetu vinapanda gari na watu kibao design ya akina Kibonde vikienda banwa na crooks ktk ulimwengu deal breaking na deal negotiation ,huwa havioni hata ya kubisha kitu kwa hawajui hata vilivyosemwa na vimesemwa vipi.Cha kujiuliza ni kwamba angekuwa kiongozi wetu anavyopenda pic angereact vipi?
 
"hey, wewe ni tatizo lako?" kiswahili kikoje hapo? Nina uhakika kama sentence aloitamka ni "hey what's your problem?" ambayo tafsiri yake ni "hey, una tatizo gani?"
 
sawa kabisa smith,huu mchezo wa kubusiana wanaume hauna maana kabisa..
 
Bwabwa huyo mwandishi wa habari
kwani kaambiwa jada hamtoshelezi
kung'uta risasi kabisaaaaaaaaaaa
 
hamna cha nani bwabwa hapa, bali motive ya huyo mzungu nini?Na kwanini kanstukiza ktk media?Je ni kuwa alikuwa shoga na kamtamani jamaa tuu? au katumwa ili jamaa kesho wauze news katika magazeti na hata hiyi TV wawe wakirudia.Au ni njia mojawapo ya kibaguzi ya kumpunguzia wateja ktk ukanda huu wa ulaya mbao una taabu nyingi.Ila bado ni wabaguzi?Hapa ku associate black na ushoga au hata magonjwa kuaweza saidia dada zao na watoto wao wasipenda black. Kwa wanaoishi dar wakiacha unafiki na kuangalia kwa ukweli mambo hay yapo, zile kona za malaya na mashoga, watu wamekuta na vituko vya surprise kutoka kwa mashoga.(watu wameshikwa uume,nyonywa by surprise, watu wmeingia vyooni wanauta wanaume wanavua suruali mpaka magotini ili wajisaidie), na wapo watu wanajisifu cheza na hawa jamaa ila bado tuna unafiki na hii ni kwa hasara yetu Kuna vitu vimetengenwa au kukuzwa kwa mategemo kuwa havitakuwa na madhara kwa hawa jamaa. Ila kwa vile wote ni binadamu basi vinakula kwa wote.Unga, HIV+magonjwa mengine, Rape, Homosexuality etc. Mpaka sasa hivi fahari ya Zenj na pwani ni (unga+ushoga), miji ya bara mitaa ya uswahili (mirungi+ushoga+uzinzi uliokithiri), maeneo mengine ni (wizi+uevi+ uzinzi) jumla ya yote ni ukimwi na mengine , uongozi mbaya wa nchi kwani mamabo hayo yanashusha umakini sana ktk nchi na kuongeza blackmailing na rushwa.
 
Back
Top Bottom