VIDEO: Wenje alipolia na Ufisadi wa Wilson Kabwe Bungeni

Mkuu RUCCI, watu wameshasahau na sasa wamemgeuka Wenje na kumtetea Wilson Kabwe. Kwa tafsiri yao ni kwamba Wenje ni mzushi na alikuwa anasema uongo bungeni. Sijui tumerogwa?
 
PCCB Where are you?

Everything has been laid out in front of you. Of course when the prosecutors are incompetent and the judges corrupt Mr Kabwe could very well get away with this even if he is prosecuted.
 
Jembe hili Wana Mwanza mmetuangusha kweli.. Tuhuma zote hizo T.b.c wako live wanaonyesha.. Mh Magufuli uoga wako ni wanini baba tv kuwa live? Mzee wa Msoga kwa Hili la Uhuru wa habali big up mzee atayekulaumu kwa hilo atakuwa kichaa
 
Ajabu kuwa watetezi wa kabwe wamekuwa UKAWA nchi hii bwana
Huu ushabiki wa vyama unatuponza Tanzania!!

Siyo kila anayechangia JF ni CCM au UKAWA ........... kuna wengi tu tulio neutral!!

Nafikiri kinachohojiwa hapa ni jinsi hayo majipu yanavyotumbuliwa. Ndiyo maana nchi zina sheria na taratibu zake. Kwa nini tusifuate hizo sheria na taratibu tulizojiwekea!!??
 
Sasa naamini watu walikuwa wanapewa barua ya kuteuliwa ikiambatana na namba ya akaunti ya "mkubwa" fulani. Aliyekuwa anaweza kutunisha zaidi hiyo akaunti ndiye aliyekuwa anapandishwa cheo zaidi...
 
Akili za CCM..wakati wanaambiwa walizomea sana....sasa wamesahau kabisaaaaa. Wanamsifu sana kale kajamaa kalikopata cheo baada ya kuwa mfunga viatu wa Rizione.
Daaaa aisee umefanya nimalizie mihogo na chai yangu ya rangi kwa raha kabisa
 
Back
Top Bottom