Video: Waziri Adolf Mkenda, Waziri mwenye presentation skills nzuri zaidi na presidential material

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,656
18,310
Huyu waziri wa kilimo Proffesor Mkenda ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kupresent hoja zake, ni msomi mahiri na atatufaa sana siku moja kwenye kile kiti kikubwa.

Hua namwelewa sana hana mijemko kwenye kazi zake anatoa hoja moja baada ya nyingine
 
Huyu waziri wa kilimo Proffesor Mkenda ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kupresent hoja zake, ni msomi mahiri na atatufaa sana siku moja kwenye kile kiti kikubwa.
ndio field yake. ni prof so presentation imelala hapo
 
Alipokuwa katibu mkuu wa wizara fulani, aligombana na waziri wake, mwishowe alimshinda kwa hoja, waziri kimya!!Mkenda ni kichwa na mzalendo .
 
Mpuuzi kweli, kama issue ni presentation basi ma-MC wa kwenye sherehe wanafaa sana kuwa ma-Rais
Mkuu ,
Mataga yameshaanza kutumika,bado hayaamini Kama tuko awamu ya 5,
Haya Mataga ukiyasikiliza utafikili Nchi ndiyo umepata Uhuru awamu ya mwendazake.
 
Huyu waziri wa kilimo Proffesor Mkenda ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kupresent hoja zake, ni msomi mahiri na atatufaa sana siku moja kwenye kile kiti kikubwa.

Hayo mambo ya presentation skills yana nafasi huko vyuoni na kwenye mihadhara siyo kwenye utawala wa nchi mkuu.
Nje na vyuo maprofesa wengi wameprove failure kabisa,take it or leave it.
 
If we want to develop socially & economically as a nation, we need and we must build strong institutions rather than depending on people personal talents...

The strong system/institutions hold, maintain and chape the talents of people like this professor...

People go, people die but institutions never go, never die and they stay there to contain and hold anyone...!

We need to change our thinking, we need to change our mindsets...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom