Video: Waziri Adolf Mkenda, Waziri mwenye presentation skills nzuri zaidi na presidential material

Hivi kama nchi, ni nini tunataka?Maana naona kama tunapotea. We don't need the best presenters. Things must be done.
Ndio maana nchi yetu ilikwenda mrama kwa kuwa na mtu mwoga kukaa meza moja na watu wa hapa nyumbani na jumuiya ya kimataifa. Waziri anaonesha ni mtu atakayeruhusu mijadala na kuimudu na sio kuishia kutupa wapinzani wake ndani au kuwaita wahisani mabeberu.
 
If we want to develop socially & economically as a nation, we need and we must build strong institutions rather than depending on people personal talents...

The strong system/institutions hold, maintain and chape the talents of people like this professor...

People go, people die but institutions never go, never die and they stay there to contain and hold anyone...!

We need to change our thinking, we need to change our mindsets...
Agree 100%
 
Back
Top Bottom