VIDEO-Wazee maskini wanaotunzwa kwenye kambi Watelekezwa na Serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO-Wazee maskini wanaotunzwa kwenye kambi Watelekezwa na Serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mathias Byabato, Mar 6, 2012.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Wenye kuweza waweke hapa kitu kizima mimi naweka link


  PAKUA HAPA


  MB.
   
 2. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  hivi huwa najiuliza hawa wazee wanaoishi humo kwenye nyumba za kutunzia wazee inamaana hawana watoto ama hawana familia ya kuwasaidia maana haining akilini mtu unamwacha mzazi wako anateseka kwa kutegemea misaada ya serikali wewe unakula bata mtaani, ni aibu kwa kweli hata kama huna uwezo utakacho kula hichohicho mtagawana
   
 4. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli ni aibu tupu,lakini ajabu serikali inaweza kusema hakuna shida.
  Mbali na hilo,nimependa sana POZI LAKO hivi uko wapi vile?
   
 5. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  jamani,jamani,hapo kwenye blue sijapenda.wewe unajadili hoja ya wazee au una lako jambo
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...