Video: Watoa Ushuhuda wa Nafuu baada ya kupata Kikombe Cha Mchg. Ambi Mwasapile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video: Watoa Ushuhuda wa Nafuu baada ya kupata Kikombe Cha Mchg. Ambi Mwasapile

Discussion in 'JF Doctor' started by bagamoyo, Mar 30, 2011.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,535
  Likes Received: 2,115
  Trophy Points: 280
  • Maumivu yatoweka
  • hamu ya chakula imeongezeka
  • nguvu zinarudi kwa kasi mwilini
  • wamejitolea kufuatiliwa na taasisi za serikali kuona manufaa ya kikombe cha babu

  Video Hisani ya Tangibovu wa YOUTUBE: Habari za Tanzania via Kennedytz (march 28, 2011)

  Taarifa ya Taasisi za serikali ya Tanzania Muhimbili, NIMR na TFDA zinasema dawa ya Mugarika ya Mchg. Ambi Mwasapila ni salama kwa matumzi ya binadamu na inafuatilia kuona matokeo ya kama inatibu magonjwa sugu na kumpatia hati miliki ya dawa Mchg. Ambi Mwasapile:  Video kwa hisani ya Tangibovu wa YOUTUBE: Habari za Tanzania via Ch 10 10x264 28/03/2011
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...