Video: Wasomi wetu UDOM wakishindwa kutaja kirefu cha ATM

Kila mtu ni mjinga..hata wewe mtoa mada ni mjinga..na ujinga sio kosa ni kitendo cha mtu kutokua na ufahamu wa jambo fulani hata kama anajua mengi...kwa hiyo usiwashangae kuna vitu wanajua hata kukuzidi wewe au huyo mhojaji..
Kinachoshangaza na kuhuzunisha zaidi kuliko huo ujinga wenyewe ni mtu anaposema haina maana kwanza hata kutoa huo ujinga wenyewe, yani ni bora afe nao tu.
Great Tanzania again.
 
Back
Top Bottom