VIDEO: Wananchi wampinga Tambwe Hiza, wataka atoke Mkutanoni

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Anasema Wao CCM pia wana mabasi ya kuleta Wanachama Wao Wana Wanachama Wengi zaidi ya Vyama Vyote... Mkutano Ukaahirishwa...

 
Last edited by a moderator:
Mbona hakuna sauti?

"Aaaatokeeee, aaatokeee, atokeeee, atokeee" duh! hii kali yaani nimecheka mpaka mbavu zimeniuma kwa kweli. Mboja jaji warioba ni CCM hakuimbiwa wimbo huo, kama Tambwe hiza anadai kuwa vyama vimejaza wafuasi wake. CCM hebu onesheni kuwa serious jamani pelekeni wasomi wakawawakilishe aaah!, au ndiyo msemo wa " Zigo la kinyesi mpe asiye na uwezo wa kunusa alibebe" Lol!
 
CCM wasilalamikie hali hiyo kwakuwa ni wao wenyewe waliobuni mkakati huo wa zomea zomea, katika semina elekezi iliyoandaliwa na chama hicho kwaajili ya kuwapa wabunge wao namna ya kukabiliana na wabunge wa CDM
 
Ndiyo maana wameleta watoto chini ya miaka 15 wakajaza ukumbi...du CCM maji ya shingo
 
Tambwe Hiza: Tumbo kubwa, kichwa kikubwa, mwili mkubwa, miwani juu lakini amejaza kinyeshi kila sehemu! Makamba alimteua Hizza kuwakilisha.
 
Tambwe Hiza: Tumbo kubwa, kichwa kikubwa, mwili mkubwa, miwani juu lakini amejaza kinyeshi kila sehemu! Makamba alimteua Hizza kuwakilisha.

Tambwe Hiza na Yusufu Makamba wote wana akili moja, Nyerere alisema kizanaki wanasema "...woooote mji ga nyanja"
 
Hilo ----- tulilikataa TMK kutokana na kukosa busara, ukilikabidhi maik yeye ni kuropoka tu huwa hana chochote cha maana anachoongea, mpuuz sana huyu mchumiatumbo.
 
Ukijua ni chama cha aina gani, kinaongozwa na watu wa aina gani, kinafanya siasa za aina gani, na kinapigiwa kura na watu wa aina gani.
Hupati shida !
 
kama wapinzani walijaza wafuasi wao kwa kuwaleta na magari basi itakuwa na kwenye hii thread wamewaleta tena sijui kwa njia gani. No good way to ascape changes
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom