Video: Wananchi walivyopokea kipigo kutoka kwa polisi huko Geita

Hata najua basi? Nategemea wenyeji wa huko watakujibu. Mie ni Mgosya wa Sikonge.

Ila kama sikosei kuna Geita, Chato, Bukombe, Mbogwe na Nyang'hwale. Total zibakuwa 5.

geita.ina wilaya ngapi na zipi jamani
 
kamanda mkuu wa geita anasema walimkamata ili kutulza vurugu na walifanikiwa kutulza aisee kwa namna ya pekee
 
TUHESHIMU MAMLAKA ZILIZO WEKWA
Joseph Tadayo 20170117_070223.jpg
 
Kigezo kikuu cha kujiunga na jeshi la polisi ni kidato cha nne, hata div IV ya sawa tu. Hivyo tisishangae saaana. Na ndio maana vyeti vyao uhakiki hukihufanyika. CCM wanajua wanavyowatumia polisi hawa, na ukikuta polisi ana degree huwezi kumkuta kwenye mambo ya ajabu kama haya.
 
Sasa nimeelewa sababu zinazofanya polisi wakiuawa na majambazi wananchi hufurahi na kuwa upande wa majambazi
 
kamanda mkuu wa geita anasema walimkamata ili kutulza vurugu na walifanikiwa kutulza aisee kwa namna ya pekee
Baada ya mauaji ya wale Polisi Kule Mbagala Mwigulu alilia sana kuhusu furaha ya watu wanayoionyesha juu ya vifo vya askari.
Akafikia kutoa onyo kuwa watasakwa wanaofurahia jambo hilo. Jee alijiuliza nini sababu ya tabia hiyo? Hajui chuki hii inadhalishwa na matendo ya wazi ya askari wetu kwa wananchi? Hivi tukiangalia hiyo video kulikuwa na kosa gani la kusababisha Polisi kushambulia watu?
Mwigulu Nchemba ni member humu, aje atujibu. Na jee kwa tabia hizi za askari wake anadhani ni rahisi kuwashirikisha wananchi wenye hasira kuisaidia Polisi?
Huko tuendako uadui utakuwa mkubwa kiasi cha kushindwa kuponya hilo Fonda ndugu.
 
Back
Top Bottom