Video: Wananchi walivyopokea kipigo kutoka kwa polisi huko Geita

me ni mfuasi mkubwa wa CCM na Mh.Rais wetu lakini tunakoelekea sio kuzuri kabisaa,, watu wamekosa pesa it means maisha yameyumba,,Taifa linakabilwa na njaa kwa jinsi ninavyosikia,,polisi wanachukua sheria mkononi,,ipo siku maskini watasema basi na maskini akisema basi jua yupo tyr kwa lolote,,lazma Mh. Rais achukue atua juu ya haya yanayoendelea
 
Back
Top Bottom