Video: Wanajeshi wakipiga nyungu

From time immemorial na ma ancestors. Subiri kuwekewa ventilator kama unao uwezo wa kuimudu gharama yake.
Ma ancestors waliugua Corona?!Halafu hujajibu swali langu:Nimekuuliza hii njia ya kujifukizia ilijaribiwa wapi na lini ikaonyesha mafanikio katika kutibu Corona?
 
Hazina matokeo mazuri hadi sasa.
Hazina matokeo mazuri hadi sasa kwani Tanzania imezikataa chanjo hizo baada ya kukosa matokeo mazuri?Tanzania si imezikataa chanjo hizo tokea kukiwa na fununu kuwa kuna chanjo zinatengenezwa?
 
Hazina matokeo mazuri hadi sasa kwani Tanzania imezikataa chanjo hizo baada ya kukosa matokeo mazuri?Tanzania si imezikataa chanjo hizo tokea kukiwa na fununu kuwa kuna chanjo zinatengenezwa?
hazina matokeo mazuri ziliko jaribiwa.
 
Ma ancestors waliugua Corona?!Halafu hujajibu swali langu:Nimekuuliza hii njia ya kujifukizia ilijaribiwa wapi na lini ikaonyesha mafanikio katika kutibu Corona?
Umejaribiwa kwa vitendo na jamii miaka Nenda Rudi. (Akili nyingi uondoa maarifa.)
 
hazina matokeo mazuri ziliko jaribiwa.
Unaongea kama mtoto mdogo alievaa pampas!Umedai kuwa chanjo hizo hazifai kwa sababu hazijaonyesha matokeo mazuri wakati serekali ya Tanzania ilianza kuzikataa chanjo hizo kabla hata hazijaanza kufanyiwa majaribio na serekali imetoa sababu ya kitoto ya kuzikataa chanjo hizo ambayo siyo hiyo uliyotaja wewe.
 
Unaongea kama mtoto mdogo alievaa pampas!Umedai kuwa chanjo hizo hazifai kwa sababu hazijaonyesha matokeo mazuri wakati serekali ya Tanzania ilianza kuzikataa chanjo hizo kabla hata hazijaanza kutengenezwa na kufanyiwa majaribio.
hahhaa povu la nini? 😂 😂 Unatumia kitu gani kufikiri aisee? Ulitaka zisilete matokeo mazuri kwa familia yako ?
 
Unaongea vitu ambavyo havieleweki na ambavyo havipo.
Unavo ona mawazo yako yako sahihi kulingana na sababu zako,ndivyo pia naona mawazo yangu yako sahihi kulingana na sababu zangu.Sihitaji serikali au watengeneza chanjo waseme ndio nihalalishe mawazo yangu,.Ndio mana mwanzo nilisema kila mtu anapambana kivyake😄
 
Si Kama anakuzalilisha mkuu
siwezi kudhalilika kwa kusimamia kitu ninachokiamini.Angekuwa amegundua dawa yake mbadala labda,ila kukumbatia za watu bila kujua ziko effective kiasi gani haina mashiko.Elon Musk mwenyewe kagoma kuchanjwa.:rolleyes:
 
Unavo ona mawazo yako yako sahihi kulingana na sababu zako,ndivyo pia naona mawazo yangu yako sahihi kulingana na sababu zangu.Sihitaji serikali au watengeneza chanjo waseme ndio nihalalishe mawazo yangu,.Ndio mana mwanzo nilisema kila mtu anapambana kivyake😄
Masuala ya sayansi siyo imani wala mawazo yako bali ni masuala ya tafiti!Kuongea masuala ya sayansi bila tafiti hiyo huwa inayoitwa ni porojo.
 
Masuala ya sayansi siyo imani wala mawazo yako bali ni masuala ya tafiti!Kuongea masuala ya sayansi bila tafiti hiyo huwa inayoitwa ni porojo.

Sasa unataka tafiti gani wakati waliotumia hazijawasaidia ilivotarajiwa?Chanjo za virusi kutengenezwa chini ya mwaka mmoja ina maanisha hawaja wasoma vizuri na kuwaelewa hao virusi ndio maana matokeo yake sio kama yalivo tarajiwa.Pia Hakuna sehemu nilipo ongelea masuala ya imani.Matumizi ya mitishamba kwa ajili ya dawa hayafungamani na imani yoyote.Nime support matumizi ya miti shamba kwa wanaoona itawasaidia badala ya kukaa kusubiri mzungu a upgrade dawa 😄 😄
 
Kutumia miti shamba ambayo haijajaribiwa popote pale na kuonyesha mafanikio katika kutibu Corona siyo imani?
 
Kutumia miti shamba ambayo haijajaribiwa popote pale na kuonyesha mafanikio katika kutibu Corona siyo imani?

kutumia chanjo ambazo hazita utafiti ulio kamilika sio imani kwani ? 😂 Mababu zako walitumia dawa za viwandani zamani kutibu magonjwa?Au hizo dawa za hospitali zinatengenezwa na hewa?Kila mtu apambane na hali yake.Walio amua kupita njia ya mitishamba waache wadumishe mila na desturi
 
Miaka zaidi ya hamsini ya uhuru hii ndiyo hatua kubwa tuliyopiga kama Taifa katika nyanja za sayansi ya tiba pamoja na madawa ya kutibu binadamu!

Mkuu tuache kuwa negative, na kuweka siasa kwenye kila kitu, swala la ugonjwa huu hata waliopata uhuru miaka zaidi ya 300 iliyopita hawana dawa ya huu ugonjwa na wanaendelea kupukutika kila siku pamoja na advanced -technology walio nayo, pia uwe unafanya utafiti kidogo kabla ya kuongea, kuna watu wengi tu wanaokili kuumwa lakini sasa wako vizuri kutokana na kutumia hizi local methods, sasa wewe endelea kubeza usubiri utawekewa oxygen ventilator ili upone!!!
 
kutumia chanjo ambazo hazita utafiti ulio kamilika sio imani kwani ? Mababu zako walitumia dawa za viwandani zamani kutibu magonjwa?Au hizo dawa za hospitali zinatengenezwa na hewa?Kila mtu apambane na hali yake.Walio amua kupita njia ya mitishamba waache wadumishe mila na desturi
Chanjo ya Russia baada ya kufanyiwa majaribio ilionyesha mafanikio kwa asilimia 91.4.Hiyo miti shamba unayoipigia debe imefanyiwa majaribio wapi na lini na imeonyesha mafanikio ni asilimia ngapi?

0210210153256.jpg
021021053501.jpg
 
Chanjo ya Russia baada ya kufanyiwa majaribio ilionyesha mafanikio kwa asilimia 91.4.Hiyo miti shamba unayoipigia debe imefanyiwa majaribio wapi na lini?

View attachment 1699194View attachment 1699195
Pia hata chanjo iliyo leta matokeo hafifu kwa real life si nayo ilikuwa na efficiency kubwa maabara?
naona tunabishana kulingana na kila mtu yuko na mlengo wake kwenye hili.Wewe endelea kusubiri chanjo,waache wanao amini mitishamba waendelee na mapambano yao.
 
Back
Top Bottom