VIDEO - Wamuibia Saa Mwanaume Aliyekuwa Akikata Roho Richard Alten, Mmoja wa watuhu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO - Wamuibia Saa Mwanaume Aliyekuwa Akikata Roho Richard Alten, Mmoja wa watuhu

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Dec 21, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  <table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">VIDEO - Wamuibia Saa Mwanaume Aliyekuwa Akikata Roho</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
  [​IMG]
  Richard Alten, Mmoja wa watuhumiwa waliompora saa mwanaume aliyekuwa akifariki kutokana na shambulio la moyo</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Monday, December 07, 2009 7:23 PM
  Polisi nchini Marekani wamewakamata watu watatu ambao badala ya kutoa msaada walimuibia saa ya mkononi mwanaume aliyekuwa akikata roho baada ya kukumbwa na shambulio la moyo wakati alipokuwa akisubiri kumuoana daktari.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Joaquin Rivera mwenye umri wa miaka 63 alifariki kabla hata ya kumuona daktari kwenye chumba cha mapumziko cha kitengo cha huduma za dharura kwenye hospitali ya Aria Health iliyopo mjini Philadelphia nchini Marekani.

  Riviera alikuwa amekaa kwenye chumba cha mapumziko akisubiri kumuona daktari wakati alipokumbwa na shambulio la moyo.

  Wanaume watatu ambao inasemekana ni watumiaji wa madawa ya kulevya waliokuwa karibu yake, badala ya kutoa msaada kwa kuwaita madaktari walimuibia saa yake ya mkononi.

  Taarifa zinasema kuwa Riviera alienda hospitalini hapo siku ya jumamosi jioni baada ya kusikia maumivu makali upande wa kulia. Alikaa kwenye chumba cha mapumziko na kupiga stori kwa dakika 20 na wanaume wawili waliokaa pembeni yake.

  Polisi walisema kuwa, Riviera alifariki lisaa limoja baadae. Kamera za ulinzi katika hospitali hiyo zilimuonyesha mwanaume mmoja akimuibia saa yake ya mkononi na kumpasia rafiki yake.

  Polisi wamewakamata watuhumiwa wote watatu na wametupwa rumande wakisubiri kusikilizwa kwa kesi yao.

  Chini ni VIDEO ya tukio hilo lililonaswa LIVE na kamera za ulinzi za hospitali.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;">

  VIDEO - Wamuibia Saa Mwanaume Aliyekuwa Akikata Roho
  <object height="344" width="425">


  <embed src="http://www.youtube.com/v/tiOHb1db_qM&hl=en_US&fs=1&rel=0" type="application/x-shockwave-flash" allowscriptaccess="always" allowfullscreen="true" height="344" width="425"></object>


  http://nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3694050&&Cat=2
  </td></tr></tbody></table>
   
Loading...