Video: Wakili Msomi Peter Kibatala afanyiwa Sherehe ndogo ya siku ya kuzaliwa kwake nje ya Mahakama Kuu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,441
215,214
Hili limefanyika baada ya kesi inayomkabili Mh Freeman na wenzake watatu kuahirishwa kutokana na Shahidi kupata maumivu makali ya kichwa .

Kibatala alizaliwa tarehe kama ya leo miaka kadhaa iliyopita .

Jionee mwenyewe

 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom