Video: Wakati Trump anatuita majina mabaya Waafrica, angalia msafara wa Rais Magufuli mjini Kahama

Tutabisha tu lakini trust me anayoyasema trump jukwaani, ndio yaleyale wanayoyasema wazungu kwenye faragha zao. Hapa alichofanya Trump ni kuuondoa unafiki na kuweka mambo wazi. So kama kuna hatua zozote tunazopaswa kuzichukua, si juu ya Trump pekee bali ni jamii yake yote.
Ila jamaa yupo real sana....halafu vitu anavoongea ni vya kweli...
Kwani ni uongo African countries na Haiti sio shitholes???
 
Huyo Rais wa USA ni kama ametumwa kuiharibu Dunia ana matamko ya ajabu ajabu sana eti Haiti na African Nation ni shithole nachoshangaa ni Botswana pekee kwa Africa ndio imejitokeza kumwambia balozi ajibu hoja ya Rais wake kama na wao ni shit hole Nation watoe tamko lao...
Sasa wengune watachukia nini wakati ni mashithole kweli
 
Ongeza Somalia, DRC, South Sudan, Libya, Zimbabwe na maelfu wa waafrika wanaokimbia "shithole countries" zao kutoka pembe zote za bara la afrika na kufia baharini wakijaribu kufika ulaya.

Kuna Gabon nayo imeondoa ukomo wa wa rais kukaa madarakani. Sasa kwa mambo kama haya unadhani kuna sababu ya kukasirikia yale yaliyosemwa na DT?
 
Wewe ni as***hole
Wewe ni mwendawazimu
Na hapo umeiba simu ya mtu
Gharasha wewe usiye na thamani LAANA imekujaa kila kona pumbaf wa head
Pita mbali nami ignored list inakuhusu hata ukijibu sitaiona mwanaharamu wewe
 
Nini maana ya shithole?! Simple: Africa is a hole where a lot of shit happens. Ukweli unauma . I'm never a Trumpster lakini kwa hili mnh!!
 
Kwa yanayofanyika
Gambia
Tanzania
Uganda
Burundi
C.Africa
Zambia
Congo
Ni sawa kuitwa shithole countries

Nimemtafuta kagame hapo sijamuona kawatupa ndani wamama wawili kisa walitaka kugombea uraisi africa ni choo
 
Hanna ubavu wa kumfanya chochote Rais Trump. Kwani yule kibonge aliyewaota "malofa" alifanywa nini? Na huyu aliyeita watoto wa wenzie "vilaza" pia mlimfanya nini?
 
"Shithole" of msafara! Kweli pesa ya kodi yatumika vyema mno, hongera zao...
 
Kwa yanayofanyika
Gambia
Tanzania
Uganda
Burundi
C.Africa
Zambia
Congo
Ni sawa kuitwa shithole countries
Trump yuko sahihi kusema bara ni chafu km anamaanisha kidemokrasia,Africa Hakuna demokrasia kwani ni neno baya sana na halitakiwi na hawa wakoloni weusi wanaoangalia maslai yao binafsi.
 
Du msafara wa Gari 46 kuzunguka nazo tena zenye CC za Kutosha si mchezo kweli Ankali amekuja kupunguza matumizi.
 
Tena angeyaita asshole kabisa......Miviongozi mipenda kiki km la kwetu alafu miktalia madarakani lazima yaitwe hivo
 
Back
Top Bottom