Video: Wakati Trump anatuita majina mabaya Waafrica, angalia msafara wa Rais Magufuli mjini Kahama

Tutabisha tu lakini trust me anayoyasema trump jukwaani, ndio yaleyale wanayoyasema wazungu kwenye faragha zao. Hapa alichofanya Trump ni kuuondoa unafiki na kuweka mambo wazi. So kama kuna hatua zozote tunazopaswa kuzichukua, si juu ya Trump pekee bali ni jamii yake yote.
Exactly,tatizo we shtholes tumezoea unafiki na kujipendekeza plus kujikweza,

WE ARE SHITHOLES

wanaobisha wabishe tumetawaliwa,tumejikomboa bado tunatawaliwa tena chini ya ukoloni mweusi kupitia waafrika wenzetu.

Misaada yote kutoka kwao kujiongoza hatuwezi kwanini tusiwe SHITHOLES?
 
JPM amesoma alama za nyakati ndiyo maana hajisumbui kwenda kwenye nchi za watu weupe!
Hakika tumepata rais kutoka kwa MAULANA!
Asante Mwenye Enzi Mungu!
Jithamini ndugu zangu
 
Exactly,tatizo we shtholes tumezoea unafiki na kujipendekeza plus kujikweza,

WE ARE SHITHOLES

wanaobisha wabishe tumetawaliwa,tumejikomboa bado tunatawaliwa tena chini ya ukoloni mweusi kupitia waafrika wenzetu.

Misaada yote kutoka kwao kujiongoza hatuwezi kwanini tusiwe SHITHOLES?
Aisee hujipendi hata
Hatareee uwiii
 
Mimi sijaona alichokosea trump,yaani ni sawa mwanamke kila siku unampa hela anaishia kununulia vipodozi tuu na birthday cakes
 
Mimi sioni trump alipokosea,ni sawa sawa na mwanamke anayekuomba pesa kila siku alafu anaishia kununua vipodozi na keki za birthday,unadhani utamuita.nani kama sio uchafu
 
Ndiyo u-shithole huo anaosema Trump hamkubali ukweli,mtu akikwambia wewe ni kipofu na kweli huoni utasema anakutukana?
Wewe ni masikini wa kifikra na wala hutakaa uwelewe kitu chochote!
Nakuombea uwe hivyo hivyo kama fikra zako zinavyo kupeleka
Bye bye
 
IMG_3226.JPG
Shithole mwenyewe na familia yako!!
Kwa kweli
Wanaojiona ma shithole wanakuwa hivyo milele!
 
Shithole mwenyewe na familia yako!!
Mtakataa lakini WE ARE SHITHOLES hasa wewe unaendelea kupinga kauli ya trump wakati unatumia misaada ya wamarekani wanaoongozwa na yeye.

Kama watu weuoe walikukaririsha kuwa wewe ulitokana na manyani ukakubali why usiwe shithole?
 
IMG_3673.JPG

Tuache kuomba omba hatutaitwa majina ya ajabu. Viongozi wetu wamezidi Sana Uombaomba
Mimi nawashangaa wanamshambulia Trump eti kawatukana wakati anawaambia ukweki yaani hata swala linalohusu afya zetu hadi tusaidiwe i.e chandaru,upinzani nao usaidiwe,serikali tawala zisaidiwe,etc.

Kituko ni pale tunapogombanishwa serikali tawala na upinzani wote wanapewamsaada na Trump ni akiki hiyo?

Mwishowe vita vya wenyewe kwa wenyew nakuuziwa silaha wote wawili na huyohuyo Trump i.e DRC
 
Bado unazidi kuthibitisha kuwa wewe ni BIG SHITHOLE kabisa hasa kwa kukopi maneno ya wazungu na kwa kutumia lugha ya kiingereza badala ya kiswahili
Wewe ni jendawazimu wazimu haswa! Tena ni pumbavu wa head!
Umelaaniwa kwa LAANA ZOTE!
Nakuweka kwenye ignored list pumbavu wewe hata ukinijibu sita ona!
Mwendesha mkokoteni wewe na utabaki hivyo hivyo pumba wewe!
 
Yaani ungejua kirefu cha ISIS usingesumbuka kumtafuta mwendazimu wkt wewe mwenyewe ndiyo mwendawazimu.

Laana haionekani kwa mtu kuchangia humu jf bali kwa hoja zako unazozitoa.

Jaziba zako tayari zinaonesha ni jinsi gani ulivyo BIG SHITHOLE usiyestahili kuitwa binadamu.
 
Mtakataa lakini WE ARE SHITHOLES hasa wewe unaendelea kupinga kauli ya trump wakati unatumia misaada ya wamarekani wanaoongozwa na yeye.

Kama watu weuoe walikukaririsha kuwa wewe ulitokana na manyani ukakubali why usiwe shithole?
Nonsense comments!
 
Back
Top Bottom