Video: Wakati Trump anatuita majina mabaya Waafrica, angalia msafara wa Rais Magufuli mjini Kahama

Tutabisha tu lakini trust me anayoyasema trump jukwaani, ndio yaleyale wanayoyasema wazungu kwenye faragha zao. Hapa alichofanya Trump ni kuuondoa unafiki na kuweka mambo wazi. So kama kuna hatua zozote tunazopaswa kuzichukua, si juu ya Trump pekee bali ni jamii yake yote.

Nakubaliana na wewe. Ujue tangu miaka hiyo wazungu ubaguzi wanao. Ndiyo maana ikijitokeza tu fursa wanauonesha waziwazi. Kimsingi kuna mambo tunafanya kama waafrika tunawafanya wapate hoja zaidi. Kuna mifano midogo tu. Angalia tangu tumepata uhuru jinsi ambavyo mambo yanaenda kidemokrasia na kimaendeleo. Angalia ufisadi ulio ndani ya mfumo na jinsi tusivyoweza kuwajibisha viongozi wetu. Angalia jinsi tunavyobaguana eti sbb huyu siyo mwenzetu kisiasa mpaka kuuana. Mambo ya kijinga kabisa na hayatusaidii chochote.
 
Kwa yanayofanyika
Gambia
Tanzania
Uganda
Burundi
C.Africa
Zambia
Congo
Ni sawa kuitwa shithole countries
Mkuu hapa ni sawa umekoleza tusi alilotukanwa ndugu yako. Au wewe ni Raia wa Canada?
 
Du msafara wa Gari 46 kuzunguka nazo tena zenye CC za Kutosha si mchezo kweli Ankali amekuja kupunguza matumizi.


ndio hapo sasa

sio gari 46, LAND CRUISER 46

za petrol, bora zingekuwa za diesel, na huyo ni mmoja tu, kuna Samia Suluhu, Majaliwa, Shein, wastaafu sijui Mwinyi, Pinda, kiiibao...

siku moja nikaona ki msafara cha Katibu Mkuu Kijazi na yeye ana vi piki piki mbele.... e bana nilicheka... hawa wazee yani hawana kabisa huruma na jasho la walipa kodi... hataki kukaa kwenye, kwani nani anataka????
 
Tutabisha tu lakini trust me anayoyasema trump jukwaani, ndio yaleyale wanayoyasema wazungu kwenye faragha zao. Hapa alichofanya Trump ni kuuondoa unafiki na kuweka mambo wazi. So kama kuna hatua zozote tunazopaswa kuzichukua, si juu ya Trump pekee bali ni jamii yake yote.
Hisia zako tu, naye anayeudhuria vikao alishawahi kusema hivyo?
 
ndio hapo sasa

sio gari 46, LAND CRUISER 46

za petrol, bora zingekuwa angalau za diesel

na huyo ni mmoja tu, kuna Samia Suluhu, Majaliwa, Shein, wastaafu sijui Mwinyi, Pinda, kiiibao...

siku moja nikaona ki msafara cha Katibu Mkuu Kijazi na yeye ana vi piki piki mbele.... e bana nilicheka...duuuu
Acha tu, wanakusanya kodi ili watembee na kulindwa kama wafalme, halafu eti wao ndio watetezi wa wanyonge?! Bullshit..
Na ndio maana hata uwaambie nini mitaani hela hamna, biashara haziendi, hawaelewi, wanaishi kifalme, hatudanganyiki na tutasema na kupaza sauti kwa unyonyaji huu wa waziwazi kabisa...
 
ndio hapo sasa

sio gari 46, LAND CRUISER 46

za petrol, bora zingekuwa angalau za diesel

na huyo ni mmoja tu, kuna Samia Suluhu, Majaliwa, Shein, wastaafu sijui Mwinyi, Pinda, kiiibao...

siku moja nikaona ki msafara cha Katibu Mkuu Kijazi na yeye ana vi piki piki mbele.... e bana nilicheka...duuuu
Utakuta hio misafara gharama yake haina tija mfano kuzindua tawi,
 
Utakuta hio misafara gharama yake haina tija mfano kuzindua tawi,

that's right, na gharama yenyewe ni zaidi ya petroli ya ma landcruiser, kuna wide scale economic cost, unapofunga movement mataa ya Tazara au Ubungo kwa masaa manne tunamsubiri kiongozi kaenda airport kumpokea Kagame, hivi unajua gharama yake in terms of slowing down economic activity ya mji wa Dar-es-Salaam? In the billions!

Lakini hawajali, hawaelewi, sijui vichwa vyao ni vizito kiasi gani...
 
Trump ana akili na IQ ya dunia nyingine hata Wazungu hawamwelewi lakini kwa vyovyote jamaa yuko vizuri na kasema kweli juu ya Afrika.
Miaka 50+ ya uhuru kwa nchi zote za Afrika na bahati nzuri kabisa zona hali ya hewa nzuri, maliasili za kila aina lakini zimebaki kuwa nyuma kimaendendeleo. Zinategemea mitumba ya magari, vifaa vya electronics, vifaa tiba, wataalam, elimu, misaada toka nje kujazilizia bajeti zao, n.k kwa nini zisiitwa jalala ama shimo pendwa (shithole)? kama Trump alivyosema.
Ujue Trump hutoa machozi anapoiangalia Africa na watu wake walivyo .... kama tu bwana yule aliyoomba tumpe bandari yetu halafu atatulisha sisi na nchi yake...aliona mbali sana
 
Huyo Rais wa USA ni kama ametumwa kuiharibu Dunia ana matamko ya ajabu ajabu sana eti Haiti na African Nation ni shithole nachoshangaa ni Botswana pekee kwa Africa ndio imejitokeza kumwambia balozi ajibu hoja ya Rais wake kama na wao ni shit hole Nation watoe tamko lao...
kama ni kauli mbovu hata magufuli tusi msahau tena yeye anazielekeza kwa anao waongoza. magu akimaliza kuongea panado zinatafutwa
 
Ongeza Somalia, DRC, South Sudan, Libya, Zimbabwe na maelfu wa waafrika wanaokimbia "shithole countries" zao kutoka pembe zote za bara la afrika na kufia baharini wakijaribu kufika ulaya.
Zama za utumwa mwafrika alikuwa analazamishwa kwa nguvu kwenda ulaya siku hawatumii nguvu kuna watumwa wengi Wa hiari kutwa kucha wanashinda embassy kuomba huruma ya kuwa watumwa wa hiari wakaoshe vyombo,na kubeba boxi ulaya
 
Kwa yanayofanyika
Gambia
Tanzania
Uganda
Burundi
C.Africa
Zambia
Congo
Ni sawa kuitwa shithole countries

Huna akili we jamaa...kama umekubali kuwa hizo ni shithole that means na ww ni mavi (shit). Huna akili kabisa na una mawazo ya kitumwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom