Video: Waasi wa Kihouthi 38 wauawa Yemen wakiwemo makamanda 2

Cassablanca

JF-Expert Member
Jan 24, 2018
324
590
Shambulio la anga la majeshi ya ushirika yakiongozwa na Saudia huko Yemen limeua waasi wa Kihouthi si chini ya 38 ikiwa ni pamoja na makamanda wawili. Shambulio hilo lililenga mkutano wa juu wa viongozi wa Kihouthi ktk jengo la wizara ya mambo ya ndani ya mahouthi. Waasi wa kihouthi walithibitisha shambulio hilo lakini hawakutoa maelezo yoyote.

Jumamosi ya leo 28 April waasi hao waungwao mkono na Iran walifanya mazishi makubwa ya wakuu wao wawili waliouawa Sanaa. Malori sita yaliyobeba miili ya viongozi, na Houthis wengine waliouawa katika shambulio hilo yaliongozwa na askari maalumu kwa ajili ya mazishi.

Waasi hao pia wamesema wamerusha makombora 8 ya balistiki kuelekea Saudia ambapo Jeshi la anga la Saudia limeripoti kudaka makombora 4 ambapo mabaki ya makombora hayo yamesababisha kifo cha raia mmoja wa Saudia.

Wachambuzi wanasema baada ya miaka 3 ya majeshi ya ushirika kupambana na waasi wa Kihouthi ili kuirejesha serikali inayoungwa mkono na jumuiya ya kimataifa, Saudia imeanza mbinu mpya ya kuwaangamiza viongozi wa Kihouthi.



Yemen strike kills 38 Houthis including two commanders: Saudi TV
Saudi-led coalition attack kills dozens of Houthi rebels in Sanaa, including two commanders, Saudi television reports.

Saudi state-owned news channel Al Ekhbariya said on Saturday that two high-ranking rebels were killed in the raid in Sanaa on Friday evening.

Saudi-owned Al Arabiya television said a total of 38 rebels were killed in the attack on a Houthi interior ministry building. A police building adjacent to the Houthi-controlled ministry was also struck.

The Houthis confirmed an air raid on Sanaa but gave no details.

On Saturday, Houthis staged a large-scale funeral for the two commanders in Sanaa, in a display of military strength.

Six pick-up trucks bearing the bodies of the leaders, and other Houthis killed in the attack, were escorted by soldiers in dress uniform towards a square where a crowd of thousands awaited.

In a separate development on Saturday, Saudi air defences reportedly intercepted four missiles fired by Houthi rebels at Saudi's southern Jazan province near the border with Yemen.

The rebels launched eight ballistic missiles towards Jazan, aimed at "economic and vital targets", the Houthi-run state news agency Saba reported.

Colonel Yahya Abdullah Al-Qahtani, a spokesperson for Jazan's Civil Defence Directorate, said shrapnel from the projectile resulted in the death of a Saudi national.

Yemen strike kills 38 Houthis including two commanders: Saudi TV

Saudi Arabia says leading Houthi rebels killed i | DW | 28.04.2018
 
Back
Top Bottom