Video: Vituko vya 'Mfalme Zumaridi', amchumu mwandishi Mahakamani

You know, nikimwangalia huyu dada, nimekuwa nikikasirika mno. jana usiku nilihisi kama sauti inaniambia nifungue mstarif ulani,nikakutana na mstari unaosema "kitu gani kitatutenga na upendo wa Mungu katika Kristo Yesu?"yaani,sio njaa, sio dhambi, sio raha, sio gereza, sio vita, sio chochote kile, katika mazingira yeyote yale niliyopo hakuna kitu kitatutenga na upendo wa Mungu. pamoja na madhambi yetu yooote, namna tunavyomkera na kumuuzi, kumsaliti n.k, yeye bado anatupenda. kwasababu ya Kristo Yesu , Mungu huwa anafumba macho asione dhambi zetu aone Damu ya Yesu. its only because of Jesus Christ God can spare us, hasira yake bila Yesu ni kali mno kwetu lakini kwa njia ya Yesu Kristo, upendo wa Mungu upo kwetu hata kwa huyu dada. though sio tiketi ya kutenda dhambi lakini kiuhalisia as long as unao uhai unao uwezo kuongea na Mungu ukaamua kurudi, Mungu anakupokea, Mungu anasubiri urudi hata leo. ila kuna siku utakuwa huna hata uwezo kuinua ulimi kuongea na Mungu hapo ndipo utajua kuwa ulipoteza opportunity. God loves us all kwa condition ya Yesu Kristo.
 
Hebu tafakari, kama yeye ni mwehu hivyo, hao waumini wake ni machizi kiasi gani mpaka wamemuamini yeye awe mkuu wao?
 
Sijui anayesema huyu mama hana madhara kama anajua undan wa makosa yake kijamii na kisheria! Tuwe tunadadavua mambo. Tunafikiria kwa bei nafuu sana. Na hatujui serkali ni nin hasa na majukum yake.
Huyu mama kashafiris raia kadhaa. Kuna mtoto alkuwa haend shule kisa ni siku za mwisho.
Usajir wa kanisa lake hauko sawa.
Sio mtii wa sheria na mamlaka km mwehu vile.
Anaharib nguvukaz ya taifa.
Sasa itafkia tapeli tumpe heshma kwa kuiba kwa akili nyingi.
Tukio hili serkal ichungulie na kwa wengine.
Kibwetere aliachwa watu wakapigwa kiberit hiv hiv.
Tusisahau hukum ya juzi tu bukoba wazaz kugoma kupeleka watoto shule kwa iman za hivi.
Sote ni watoto wa baba mmoja ...serkali.
Baba linda ustawi wa familia yako!
Mwenye maisha mazuri kwenye kizazi hiki anakubalika sana na haijalishi hata kama utajiri wake una makando kando kiasi gani,
 
Hawa wenye vituko wawe wanaachwa tu kama vituko vyao havina madhara kwa jamii, huu mtindo wa kamatakamata na kushitaki mahamani ipo siku polisi watakamata na kushitaki wendawazimu mahakamani halafu polisi wenyewe ndio wataonekana kituko
Wapi nabii tito..?
 
Siku chache tangu Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kumkamata Diana Bundala maarufu kwa jina la Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Zumaridi, ameendelea kutrend mitandaoni kutokana na vituko vyake.

Akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza alipofikishwa na wenzake, Machi 2, 2022, alionekana kufanya vituko kadhaa ikiwemo kuwaambia waandishi wa habari kuwa: “Mmemuona Mungu?”

Nukta chache baadaye akaonekana akijibu mwandishi ambaye alimsalimia kwa kumwambia “Mungu hi!” Naye akamjibu: “Hi!” kisha akamchumu mwandishi huyo kwa mbali.
View attachment 2138340

Video: Yuhoma TV
Mfalme 'MUNGU' Zumaridi, sikuwahi kumsikia mpaka nilipoona ma zombie yake yakiwatoa jasho polisi, kumbe ni mkali wa kusakata sebene na mambo mengine mengi mazuri.
Aachiwe tu, na sasa atapata 'followers' wengi zaidi.
Mungu flani, mfalme flani wa kike. Strange world.
 
huyu wakimpeleka magereza hamalizi mwezi anapewa Unyapara au Askari selo au member of staff

akifungwa kabisa hamalizi mwka anapewa unyapara Mkuu kwa upande wa wanawake maana kwa namna

alivyofetuka akili akiingia jela akaongezea ufyetukaji kidogo akawa KAFYETUKA square,hamna kima yeyote

itamwambia kitu maana ni chizi bin mwehu huyu mungu zumaridi,hapo tu n uraia,Akika jela miaka mi 3 na Mke ataoa huko huko.
khaaah
 
This bitch is Crazy! She needs a Dr,she is mental I'll/imbalanced!She needs help!
 
Tuacheni masihara mwanamke akisuka mistari kama kichwa ndio kimekaa kama cha zumaridi

anakua kama wale binadamu wa kwanza kina homosapiens (stage 1) yani kichwa yake haina chogo

maskio ni ya kutafuta na tochi (viskio vduchuuu) halafu kwa kumalizia kile kchogo cha kutafuta na tochi kimeangalia kwa juu, weeeeee Wadada vaeni tu ma WIG nimekubaliiiiiiiiiiii na sasa naelewa wengine mko na special Case...
Hapo maana yake kichwa kama senene
 
Katika hili kuna jambo la mtu pale.mpaka uwindwe kiasi kile?wakufanye kama jambazi
Lazima anaonyeshewa na mtu flan!!!
 
Back
Top Bottom