Video: Uwezo wa kutisha wa jeshi la Iran, makombora 100,000 ndani ya dk 7 tu Israel itageuzwa majivu

Hawa watu ni hatari tupu

Hii video nimeikuta youtube "Makombora 100000 ndani ya dk 7 tu jee tel-aviv ina uwezo wa kujihami na haya makombora hatari yenye speed ya ajabu?
Video hiyo hapo
Waarabu wa Tanzania bwana kazi kweli kweli, neti mnazolalia ni za mmarekani, mkiumwa ukimwi dozi mnataka mpewe bure na huyo huyo mmarekani ambaye ni muisraeli tu kiasili

Cha muhim naona tusiwe wanafki kama tunamchukia mmarekani na muisrael tuhakikishe tunaacha kutumia na vitu vyao zikiwemo sim zao na program zao tumieni za wairan, na tukiumwa ngoma Arv tusikimbilie za bure twendeni tukanunue
 
Hawa watu ni hatari tupu

Hii video nimeikuta youtube "Makombora 100000 ndani ya dk 7 tu jee tel-aviv ina uwezo wa kujihami na haya makombora hatari yenye speed ya ajabu?
Video hiyo hapo👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

hayo yote yataangamizwa hapohapo ardhini,kumbuka midege ya waarabu 1967 kule misri,tena israel hakuwa na teknolojia ya juu,kama sasa....
 
Israel ni habari nyingine mkubwa kama dola za kiislam zinauwezo mkubwa zimpige kwa kutumia mgongo wa Palestine watakuwa wamemsogelea kabisa ndipo utajua dunia ni Israel lile taifa lina kashkash sana toka babu wa babu wababu wa babu yako hajazaliwa
 
Kwa mawazo yangu naona waarabu wapo karibu sana na waisrael kushinda Iran. Mana hata Israel Kuna waarabu kibao wana asili ya morroco na Yemen, ni waisrael wenye asili ya kiarabu na wako proud na nchi yao.
 
Mbona hamsemi Isareal ilivyo chapwa na hizzbullah 2006 mpka akalazimisha vita imalizike na waziri mkuu akalazimishwa kujiuzulu ni mara ya kwanza isreal ilichapwa na tank zake mackvera hazikutamba na meli za kibita hizbullah walizizamisha sasa unafikiri ISREAL NDIO MBABE KILA SIKU? Mbona misri alimpiga 1973 akabomowa Barlev line na amjaribu IRAN SIO YULE IRAN WA ZAMANI
 
Waarabu wa Tanzania bwana kazi kweli kweli, neti mnazolalia ni za mmarekani, mkiumwa ukimwi dozi mnataka mpewe bure na huyo huyo mmarekani ambaye ni muisraeli tu kiasili

Cha muhim naona tusiwe wanafki kama tunamchukia mmarekani na muisrael tuhakikishe tunaacha kutumia na vitu vyao zikiwemo sim zao na program zao tumieni za wairan, na tukiumwa ngoma Arv tusikimbilie za bure twendeni tukanunue
Hongera mmarekani na myahudi wa bongo
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom