Video: Uwezo wa kutisha wa jeshi la Iran, makombora 100,000 ndani ya dk 7 tu Israel itageuzwa majivu

MBONA HUONGEI KUWA WAMELAANIWA NA NDIO MAANA MPAKA JUZI KULIKUA HAKUNA UBALOZI WAO BONGO, Hawana nchi wale mkuu
We jamaa una mihemko mibaya sana bongo ni kitu gani kwa israel? Umeambiwa ubalozi ni symbol ya khalalisha taifa? Israel wanatuzidi kila kitu mpaka kunya mkuu
 
Waarabu wa Tanzania bwana kazi kweli kweli, neti mnazolalia ni za mmarekani, mkiumwa ukimwi dozi mnataka mpewe bure na huyo huyo mmarekani ambaye ni muisraeli tu kiasili

Cha muhim naona tusiwe wanafki kama tunamchukia mmarekani na muisrael tuhakikishe tunaacha kutumia na vitu vyao zikiwemo sim zao na program zao tumieni za wairan, na tukiumwa ngoma Arv tusikimbilie za bure twendeni tukanunue
Unajifanya umesahau siku sita walivyotwangwa hao waarabu wako wote (about 10 nations) na Mwisraeli mpaka wakaomba msamaha?
Kilichosababisha watwangwe wakati ule ndicho kitakachowasababisha watwangwe tena muda si mwingi.
Hao waisrael wale usipaliwe mate kuwasema, irani bado sana kumpiga maana waarabu wanavyomchukia wasingesita kumpiga kama wangekuwa na huo uwezo.
Wairan na waarabu ni ethnicity mbili tafauti kabisa.wafursi sio waarabu na waarabu si wafursi na wanatafautiana kila kitu.Kumuita muiran kuwa ni mwarabu ni umbumbu.uncultured swines.
 
We jamaa una mihemko mibaya sana bongo ni kitu gani kwa israel? Umeambiwa ubalozi ni symbol ya khalalisha taifa? Israel wanatuzidi kila kitu mpaka kunya mkuu
Unaposema 'mihemko' hayo ni maneno ya mashoga mkuu, ongea point na sio maneno ya kike. Na kama ni symbol naona hao mashoga wenzako wanatumia nguvu nyingi sana kuwekwa huo ubalozi, ww ulieko kwa mmatumbi unalegeza sauti eti Symbol tehtehteh
 
Waarabu wa Tanzania bwana kazi kweli kweli, neti mnazolalia ni za mmarekani, mkiumwa ukimwi dozi mnataka mpewe bure na huyo huyo mmarekani ambaye ni muisraeli tu kiasili

Cha muhim naona tusiwe wanafki kama tunamchukia mmarekani na muisrael tuhakikishe tunaacha kutumia na vitu vyao zikiwemo sim zao na program zao tumieni za wairan, na tukiumwa ngoma Arv tusikimbilie za bure twendeni tukanunue
Sisi waarabu wa Tanzania ni kweli ni aina za watanzania na tunanufaika na lolote inufaikalo tanzania na janga lolote liikutalo tanzania hutukuta kwani sisi ni raia wa tanzania ,Mkuu israel sio USA na asili ya marekani sio Israel usirudie huo utoto asili ya marekani ni waingereza waliohamia hapo na wahamiaji wengine wachache toka ulaya waisrael walianza kuja marekani miaka ya 1940 naaa baada ya mabalaa ya hitler kutokana na tabia yao ya kunyanyasa wa jerumani na umbea kwa majeshi pinzani ,so marekani huwa inawatumia kwa mchango wao mkubwa wa kiakili kwenye mateknologia ya kuharibu dunia kama manyukria ,so wanamkataba wa kuwalinda tu na kuendelea kutawala pande za mashariki yakati tu ,kwa hiyo ishu yetu na israel tuachie wenyewe we endelea kufurahia amani anayotujengea magufuli ,ya huko acha ,hata msimamo wa serikali ya Tanzania huwa wako pamoja na palestina ,unadhani wao ni wajinga wanaujua ukweli
 
Back
Top Bottom