Video: US soldier vs Iraqi police | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video: US soldier vs Iraqi police

Discussion in 'International Forum' started by nukta77, Feb 7, 2009.

 1. nukta77

  nukta77 Member

  #1
  Feb 7, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tahadhari: Lugha inayosikika katika video hii ina neno la kutusi.
  Be warned. Adult language ('f*** up' word) is used in this video.

  If you can't play the video below, go ahead and click here to see this video of an US soldier giving it off to Iraqi police

  [media]http://www.liveleak.com/view?i=0a3_1233765334[/media]

  Nadhani tunaanza kujionea wenyewe ni kwa jinsi gani mambo ni magumu na yasiyo ya matumaini katika vita, hasa kwenye vita hii waliyoianzisha WaMarekani na inavyoelekea kuwa mambo yalivyo sasa na hasira ya WaIraki si sawa na nderemo na vifijo vilivyosikika siku za mwanzo za uvamizi wao nchini Iraki. Vita si lele mama, aliwahi kujisemea hivi mmoa wa waasisi wa Taifa la Marekani kuwa 'haikuwahi kuwepo vita nzuri wala amani mbaya' - Benjamin Franklin.

  It is frustrations, chaos, depression, despair, uncertainty and pessimism everywhere. The statistics shows that the number of US soldiers committing suicide is on the rise! Wars have devastating effects, no wonder I agree with Benjamin Franklin's statement when he said: There never was a good war or a bad peace!

  I desire to live in a world where war will be a myth and a word of the past. No matter the reason, I do not condone war nor any act of terror. I wish we could just : Spread love. Promote unity. Respect humanity. and Enjoy life! ...but somebody thinks that starting a war is an easy way to solve problems arising from disagreements.

  i am nukta77 and i blog at nukta77.com
   
 2. N

  Namtih58 JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 236
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama hivi ndivo wanavyo tukanwa, no wonder wana ties na militia. Yani huyu jamaa anadhani kuwatukana ndo kutawapush, anawa alienate polepole tu.
   
Loading...