Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,206
- 42,068
Bavicha umesahau hiyo party Shein na Magufuli walishiriki ambao hamu watambui? Hivi kwanini ubwabwa uwafanye wabunge wenu kupoteza kumbu kumbu?Hili ni tatizo jingine, Nilisema na ninatudia kusema kama Magufuli akiendeleza show za ajabu ajabu anazofanya badala ya kurudisha umoja wa kitaifa, hali itakuwa mbaya sana .
Kwanini mwaliko kama tayari wewe ni mbunge na kuna vithibitisho hivyo?
The party is suppose to involve MPs wote +/- watumishi wengine wa Bunge. Madai ya wabunge wa UKAWA ni very legitimate, hasa kipindi hiki ambacho bado kuna mgogoro Zanzibar, uwepo wa Dk. Shein bungeni ni kuleta vuguvugu jingine la kisiasa(tena pengine ambalo lilikuwa limesahaulika kutokana na akili "yetu" watanzania ya kusahau sahau). Maombi yalipelekwa na hayakujibiwa, Spika wa Bunge hakutoa muongozo wowote kuhusu hilo kabla ya tukio.(Tunajifunza nini hapa? Jinsi watu walivyo(mimi inclusive) walivyoona uonevu wa wazi wa wananchi, na ubabe wa Chama tawala wakati wa uchaguzi wakiona Uoinzani wanaonewa, ndivyo watazidi kuwatibua wananchi, pengine hata wale waliokuwa hawana upande wowote).
Endapo, utaweka utengano katika chombo cha kuiwajibisha Serikali, chombo cha kutunga sheria, n.k Unategemea nini?
Nilitegema "party" ya pamoja ni platform nzuri kusawazisha mambo hasa kukiwa hakuna camera/live broadcast zenye kuonyesha dunia(In house conflict Management)!
Sasa say hypothetically speaking(wabunge wa UKAWA walifanya mambo ya kitoto(as referred by Hon. President JPM), Spika(wa chama Tawala) hakujua kuhusu mialiko? Nani hasa mwenye kufanya utoto hapa? Ni vioja hivi Tanzania yenye kuvihitaji wakati huu?
Kutengwa au kutoalikwa kwa wachache hawa kuna madhara zaidi ya jambo lenyewe!