Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

Sijui kwa nini Bw. Tundulissu analalamika wakati ana uhuru wote huu kumtukana Rais. Ila asichoelewa ni kwamba yeye akitaka kumsusia Magufuli ni haki yake sawa na wengine wanaomkumbatia Magufuli. Si anataka tupige kelele? Aanze yeye na kama kuna wanaomsikia asubiri nao watapiga kelele. Ila kumbuka kuna maelf kwa maelf wana imani na Magufuli, kwa hiyo hawaoni sababu ya kupiga kelele na hawapigi kelele. Inafaa huyu Tundilissu aambiwe kuwa yeye ana maoni yake na wengine wana maoni yao si lazima tukubaliane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe usifanye jimbo lako lifanikiwe kama wakina Zitto. Wewe lala Na kupiga kelele tu

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hii nchi Mwanasheria ni Tundu lisu tu, alafu kama amechukizwa na Uteuzi huo alioufanya Magufuli akidai mtu x ni mtoto wa Dada yake mbn yeye mwenyewe Lisu Dada yake alikuwa mbunge viti Maalumu kupitia chama chake, Mi huwa sisapoti unafiki,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmoja kutoka ukanda ule anaotokea uchwara. Pathetic!
 
akafie mbele safari hukooo... anataka awekwe ndani ili aonekane anaonewa ...anatafuta kick kama msanii

bado tuko hai tatizo ajira
 
Sijui kwa nini Bw. Tundulissu analalamika wakati ana uhuru wote huu kumtukana Rais. Ila asichoelewa ni kwamba yeye akitaka kumsusia Magufuli ni haki yake sawa na wengine wanaomkumbatia Magufuli. Si anataka tupige kelele? Aanze yeye na kama kuna wanaomsikia asubiri nao watapiga kelele. Ila kumbuka kuna maelf kwa maelf wana imani na Magufuli, kwa hiyo hawaoni sababu ya kupiga kelele na hawapigi kelele. Inafaa huyu Tundilissu aambiwe kuwa yeye ana maoni yake na wengine wana maoni yao si lazima tukubaliane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunawatu wanasubiri kwa udi na uvumba wasikie atasema nini....then wanayameza kama yalivyo!hawa ni wapumbavu!wasaliti wa nchi hii!
 
Hivi hii nchi Mwanasheria ni Tundu lisu tu, alafu kama amechukizwa na Uteuzi huo alioufanya Magufuli akidai mtu x ni mtoto wa Dada yake mbn yeye mwenyewe Lisu Dada yake alikuwa mbunge viti Maalumu kupitia chama chake, Mi huwa sisapoti unafiki,

Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee kweli ni kingedere Cha lumumba!

Tofautishe mchakato wa uteuzi wa viti maalumu na uteuzi wa bwana konyagi!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
ILA TUACHE MASIKHARA WAKUU, JPM akiwapa uhuru upinzani kufanya siasa bila bugudha, walah, 2020 atapata 5%, nadhani hili ameligundua, ashikilie hapohapo... Na akumbuke akikubali kuachia atapata tabu wakati yupo benchi.. Hamjiulizi kwanin mugabe hatak kuacha madaraka? Anajua hapendwi anaweza kumalizia life jela.
JPM.. KOMAA HAPOHAPO.. MAANA LICHA YA KUBANWA UHURU KOTE HUKU LAKIN WANANCH WAMEKATA TAMAA, JE KUNGEKUWA NA UHURU KAMA KWA JK INGEKUWAJE?
 
Kwaiyo kijengwa uwanja wa ndege chato kosa au tusilete mambo ya ukabila mbona nusu ya viongoz wa wakubwa wa chadema wanatoka kule kwa walitumwa pesa mjin apa au nacho ni chama cha kabila lile
wataje hao viongozi
 
Back
Top Bottom