Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

Naheshimu maoni yako, ila hainiondolei ukweli kua Lisu si mzalendo kama wengi wanavyomsifia na kumpamba tena anayetaka inchi yangu itengwe hapana kwakweli amenitoka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unayo habari pia kuwa Tanzania tunashundwa kusonga mbele kwa kuwa na raia wenye akili kama zako pamoja na mambo mengine
 
MIMI niseme tu kila MTANZANIA apambane na hali yake.Mwanasiasa daraja lake katika kufikia Malengo yake UJINGA na UMASKINI wa mwananchi. Habari za jpm kujenga uwanja chato mara kamteua mjomba wake au mara dada yake lisu alikua mbunge mara chadema wakanda HAZIWEZI na HAITAKUJA KUKULETEA MKATE WAKO WA KILA SIKU.Kama tunamshabikia LISU au JPM kwa kujifurahisha hapo sawa lakini KUSHUPAZA SHINGO NA KUTOA MIPOVU KISA LISU AU JPM ni kupoteza MUDA ambao ni bora hata UNGELALA huenda UNGEAMKA na akili nzuri ya KUPAMBANA na MAISHA.

Maisha mazuri hayataletwa na LISU wala JPM, MAISHA mazur yataletwa MTAZAMO CHANYA juu ya nini maana ya MAISHA.

sent from kitochi using jamii forum
 
Vuvuzela huyu tumemzoea. Hata kwenye makinikia alisema tutanyolewa bila wembe na wenye makinikia badala yake wakapanda ndege kuja kuomba tuongee!! Sasa anatafuta kick nyingine kama anataka tususiwe na mataifa si angewafuata hukohuko hao mabwana zake??

Sio kutafuta kiki, hapo JPM anatafuta tukio lolote akamjibu TL, mtu pekee anayeongea bila hofu na kujiamini
 
Mwandiko hausomeki vizuri
Umeelewa sana. Tupeni mwongozo ukali uwaje. Je mtu asiyesita kumwajibisha mtu, atendaye hali kwa wote , mnyenyekevu, aombaye hekima na busara kwenye uongozi, asiyejikweza, mwenye kuonea huruma wanyonge, mcha Mungu , mwenye kusamehe na mstahilimivu. Tutampata wapi. Lakini tunaoamini Mungu aweza aliyepo akiutafuta USO wa Mungu ni yeye. Tunahitaji kutubu mbele za Mungu kuwa sote tumekosa tuanzane upya.
 
Unayo habari pia kuwa Tanzania tunashundwa kusonga mbele kwa kuwa na raia wenye akili kama zako pamoja na mambo mengine
Ona huyu naye, hebu pita hivi! kwahiyo hii ndo demokrasia ambayo mnaitaka au? Wote tuwaze kama uwazavyo wewe si ndio? Mtu akitoa maoni tofauti na utakavyo anakua siyo kama ndivyo hivyo bora kumbe ccm iendelee maana sioni tofauti kati ya chama kinachojitahanabisha cha demokrasia na ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wengine ni hazina kwa Taifa si kwa jimbo.Faida ya Lisu kwa nchi hii ni kubwa sana kuliko kumpimia maendeleo ya jimboni kwake.Yeye si serikali ya kupeleka mapesa Bali ni mshawisi kwa serikali iliyopo madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo kijengwa uwanja wa ndege chato kosa au tusilete mambo ya ukabila mbona nusu ya viongoz wa wakubwa wa chadema wanatoka kule kwa walitumwa pesa mjin apa au nacho ni chama cha kabila lile
 
Hajui kuwa nadharia zote zilifanyiwa majaribio ili zitende kitu
Ona huyu naye, hebu pita hivi! kwahiyo hii ndo demokrasia ambayo mnaitaka au? Wote tuwaze kama uwazavyo wewe si ndio? Mtu akitoa maoni tofauti na utakavyo anakua siyo kama ndivyo hivyo bora kumbe ccm iendelee maana sioni tofauti kati ya chama kinachojitahanabisha cha demokrasia na ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Kwa Bahati mbaya halo Leo lissu hajazungumzia makanikia kazungumzia mambo mengine sasa UCD ingekuwa in vyema huyazungumzie hayo na utoe uthibitisho Wa lissu in muongo kiasi gani kabla ya kuzungumzia mbo ambayo hayapo au yalishapita na kila mtanzania anajua yalipoishia

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Siasa zimeisha fubaza taaluma ya hili tundu.
kwenye hao wateule kutoka kanda ya ziwa je hawana taaluma na vyeti halali mpaka wasiteuliwe?
kwenye uteuzi wa Jpm hakuna watz kutoka kanda nyingine, au yeye kawaona hao tu wa kanda ya ziwa?
Alishazoea kubwata huyu.
 
CHADEMA wasipokuwa makini wataishiwa kususiwa wao na Watanzania.

Tanzania haijafikia kabisa viwango vya kususiwa na jumuia ya kimataifa.

Sasa huyu so called 'msomi' ndo anataka nchi isusiwe?

Kwa minajili gani hasa?

Mtu yupo Tanzania na ana uhuru wa kumzungumzia hivyo rais aliyepo madarakani halafu anataka nchi isusiwe?

Hata hiyo jumuia ya kimataifa ikimsikia itamcheka kwa dharau nyingi sana.

Huyu jamaa mdomo wake hauna breki!

He is a demagogue on steroids!
TL anasema mtu wetu anaelekea huko na ana malengo ya kufika huko ila bado hajafika huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yako maswali mengi tungeweza kujadili yote aliyosemwa na Lisu.

1. Aliyoyasema ni kweli? Swali ambalo jibu lipo kwa sababu wawakilishi wetu walikuwepo ( wana habari wangeweza kupinga kama ingekuwa sio kweli)
3. Kwa kiasi gani (to what extent) inamadhara au haina madhara kwa taifa!!
4. What next? ( what to be done?)
Fortunately hakuna hata mchangiaji 1 aliyepinga kwa kutoa facts za kuonesha no blood relationship kati ya hao wateule, no tribe relationship na hao wateule. Wengine wameishia kutukana kutaja makanikia, kichaa n.k.

Kiashiria kimojawapo kwa vichaa tuliowazoea ni kutembea bila nguo lakini kiashiria kimoja wapo cha ignorant community ni total failure ya kujua upi ukweli na upi ni uongo na kujiuliza what next?
 
Hivi hii nchi Mwanasheria ni Tundu lisu tu, alafu kama amechukizwa na Uteuzi huo alioufanya Magufuli akidai mtu x ni mtoto wa Dada yake mbn yeye mwenyewe Lisu Dada yake alikuwa mbunge viti Maalumu kupitia chama chake, Mi huwa sisapoti unafiki,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama watawaelewa ikiwa na wao wana macho na wanaona namna CHADEMA inavyopata uongozi, Mbowe, Lucy Awenya, Grace Kihwelu, Anna Kubenea, Rose Kamili, Joyce Minja, Amina Lissu na Joyce Mukya
Ongezea na Dada yake Lisu (Marehemu kwa sasa (RIP)).
 
Back
Top Bottom