Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

Asante sana Tundu Lissu, wenye uwelewa tumekuelewa, wasioelewa ipo siku watakuelewa.. Wakati haujawahi kuongopa
 
Vuvuzela huyu tumemzoea. Hata kwenye makinikia alisema tutanyolewa bila wembe na wenye makinikia badala yake wakapanda ndege kuja kuomba tuongee!! Sasa anatafuta kick nyingine kama anataka tususiwe na mataifa si angewafuata hukohuko hao mabwana zake??
Anachoongea ni ukweli tena ukweli mtupu.kabla ya kusema ni vuvuzela jaribu kutuambia kipi alichokisema kuwa si cha kweli.escrow,makinikia,wapinzani wakisema mkawaita mavuvuzela hivyo hivyo lkn Leo ndio mmeona essue ya kuwapaisha,ccm hamna Sera.kazi yenu kutuibia tu watanzania

Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Singida Mashariki amefanya mkutano na waandishi wa habari akimtuhumu Magufuli kwa mambo mengi na kutaka asusiwe kila mahali.

Amesema mataifa ya nje yanayompa hela Magufuli yamsusie Magufuli na kutompa pesa za kuikandamiza Tanzania. Kujenga uwanja wa ndege Chato ni kama Mobutu Seseseko alivyojenga kijijini kwao.

Amesema Mwinyi na wengine wanaotaka Magufuli aongoze miaka zaidi ya 10 wanataka Magufuli awe kama rafiki zake Nkurunziza, Kagame na Joseph Kabila na kuita huo ni ujinga. Wanaoshangilia Bombardier hawajui zimenunuliwaje na Magufuli anaendesha nchi kwa misingi ya kikabila na Kifamilia, akimtolea mfano Dotto James Katibu Mkuu wizara ya fedha na Naibu wake ni watoto wa dada alikuwa afisa ngazi za chini wa TANROADS miaka 2 iliyopita na wanaambiana mjomba tununue ndege, tujenge uwanja wa ndege nyumbani na hela zinatoka.

Mmoja wa wanasheria wa wizara mmoja Medad Kalemani na Naibu Waziri nishati na madini hakufukuzwa kwenye skendo ya madini iliyomuondoa Muhongo. Kuingilia uhuru wa mahakama. Anawaambia majaji kwenye mikutano ya hadhara namna ya kutoa hukumu.

Sasa ni mwezi wa 8 mahakama ya Tanzania haina Jaji mkuu ina Kaimu jaji mkuu na hii haijawahi kutokea Magufuli anajiona yeye ndio dola kwenye karne ya 21. Majaji wa mahakama kuu 4 kujiuzulu ndani ya miezi 3 haijawahi kutokea na sababu wala maelezo hayatolewi japo kuna baadhi yao walihusika na Escrow ila haijatolewa sababu

Kama majaji wanalazimishwa kujiuzulu bila maelezo nani yupo salama?
Vyombo vya habari vinavamiwa kwa bunduki na hakuna hatua inayochukuliwa
Tunaposema udikteta ndio huu. Kazi ya kupinga udikteta sio ya CHADEMA tu, ni vyombo vya habari, wafanyakazi wa serikali viongozi wa dini. Kutumia vibaya fedha na rasilimali za taifa.


Yaani katika watu wasio na uzalendo mmojawapo ni huyu jamaa yeye kwa kuwa ana uwezo wa kujikimu na familia yake ndo maana anaropokaropoka tu kwa sababu ya mambo ya kisiasa na ado watanzania wanajiona huyu mtu anaongea point, bila kujua effect ya maneno yake katika uchumi wa nchii hii. Hata kama unatafuta nguvu kisiasa na umesoma sheria lazima uwe na mipaka na mazungumzo yako, wa kufungwa breki ni kama hawa Rais wa TLS unazungumza utumbo kama huo. Acheni kutafuta nguvu kisiasa kwa kushawishi ujinga ila mengine nakusapport

Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
 
Vuvuzela huyu tumemzoea. Hata kwenye makinikia alisema tutanyolewa bila wembe na wenye makinikia badala yake wakapanda ndege kuja kuomba tuongee!! Sasa anatafuta kick nyingine kama anataka tususiwe na mataifa si angewafuata hukohuko hao mabwana zake??
Huo nimtazamo wako,kwani hata ss tunakuona ww ni pandikizi la mafisiem, ukweli utadhihiri na uongo hujitenga

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sasa huyu mzee wa Singida kachanganyikiwa. Yaani ameshindwa kuwashawishi waTZ wamchukie rais wao sasa anataka wananchi wa mataifa mengine wamsusie!

Post sent using JamiiForums mobile app
Mimi ni kati ya watu wanamchukia magu na sina haja ya kushawishiwa kwa kuwa nauelewa na ninajitambua,wewe kilaza ndio unapagawishwa na maigizo ya ccm.

Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
 
Hongera Lissu kuthubutu kuisema serikali hi kwani haisikizi mnadi sala Wala mtia maji msikitini

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Vuvuzela huyu tumemzoea. Hata kwenye makinikia alisema tutanyolewa bila wembe na wenye makinikia badala yake wakapanda ndege kuja kuomba tuongee!! Sasa anatafuta kick nyingine kama anataka tususiwe na mataifa si angewafuata hukohuko hao mabwana zake??
Hayo maongezi yamesaidia nini taifa? Hakuna hata sent moja ilio lipwa na manikia yanasafirishwa, kwa sheria mpya ya manikia cacia wamesema wataongeza asilimia 6 kutoka 4 inamaana Tanzania I napata asilimia 6 kama msaada wakati ni rasilimali zetu? Ukweli usemwe achani ulimumba na maneno ya hovyo
 
Lisu mm nina wasiwasi na cheti chako.
1. Nchi hii sio ya magufuli
2. Nchi ikikosa msaada hatoteseka magufuli
3. Ukienda kuwambia wakifungia wewe na nyanya zako 2 utakuwa wapi?
4. Hiyo democracy tangu miaka hiyo mpk leo imetufanyia nini?
5.ushawai panda juu ya meza ukajisukuma alafu ukaona kama unaenda mbele au vipi?
Kadri siku zinavyoenda unanifanya niziki kuchukia upinzani koko


Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Mimi upinzani wa kipumbavu namna hii ulishanitoka rohoni kabisa, eti tususiwe harafu hawahawa wanajiita wazalendo yaani upinzani wakinafiki kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vuvuzela huyu tumemzoea. Hata kwenye makinikia alisema tutanyolewa bila wembe na wenye makinikia badala yake wakapanda ndege kuja kuomba tuongee!! Sasa anatafuta kick nyingine kama anataka tususiwe na mataifa si angewafuata hukohuko hao mabwana zake??
kwani kuna progress (maendeleo) gani kwenye makanikia? are you sure kwamba michanga haisafirishwi? weka link inayoonyesha ACACIA wamekubali/wameanza kulipa
 
Nyerere &Co wangekuwa kama wewe hadi Leo mkoloni angekuwepo...acha woga kwa kitu unachokiamini..wote tutakufa
Hao pengine ni wanufaika wakuu, kwa hiyo wameamua Kuwa vipofu.wamejaa huku JF kibao, but lazima kila mtu apinge utawala wa kidicteta.
 
Mimi upinzani wa kipumbavu namna hii ulishanitoka rohoni kabisa, eti tususiwe harafu hawahawa wanajiita wazalendo yaani upinzani wakinafiki kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika tulitawaliwa na wazungu kwa sababu ya ujinga wetu, sasa mumekuwa huru wa kufikiri na kutoa maoni yenye thamani, mnatoa za hovyo kabisa
 
Maoni ya jamaa mmoja humu JF baada ya Lissu kuongea na Media..
Kwa sasa mahakama kuu ya Tanzania sio Taasisi huru,majaji wanaingiliwa kwenye shughuli zao mpaka wanaamua kujiuzuru,

Na kama mahakama inaingiliwa kwenye kutenda haki,haki zetu tuzitafutie wapi?je kuna haja ya kupeleka kesi mahakamani katika hali hii au tuangalie namna nyingine? Kama unazizuia mahakama zisitupe haki,na sisi kama nchi tunataka haki na tumekubaliana kikatiba tutaipata mahakamani,na wewe umezizuia mahakama zisitoe haki,nchi nzima ikiamua kutafuta mbadala wa mahakama nchi hii itakalika?

Wabunge bungeni mnawafukuza na kuwatisha,mnataka taifa lisemee wapi? Bunge ni mahala pa mijadala ya taifa,wakianza kujadili mnawafukuza na kuwatisha

Serikali nayo ikisikia watu wanatumia Uhuru wao kujadili,wanatuma polisi kuwakamata

Kuna kihadithi fulani kinasema kwamba hata umuwekeee vifaranga mia,ukimuachia tu,mwewe atapaa na kuondoka,Uhuru ni kitu cha asili cha binadamu,

Mkoloni na mabomu yote na mabunduki,hakufanikiwa kumnyamazisha Nyerere,kenyata,Mandela,Mugabe,

Leo karne ya 21 unawaza kuzuia watu wasiongee?

Wapinzani waliongea tena kwa ruksa na kukingiwa kifua na Nyerere baada ya tume ya Nyalali,

Leo wewe ni nani wa kumshinda Nyerere busara? Wewe unaweza kumshinda baba wa taifa kwa maono? Ccm walikataa vyama vingi,Nyerere akawaambia acheni ujinga,na wakati Mkapa anaomba urais,nyerere hakuzuia wapinzani wasipige kampeni,alisema muacheni Lyatonga mashabiki wake wamsukume gari lake,mrema yuko mwanza kwenye kampeni ,nyerere yuko mbeya,hakuamuru lyatonga akamatwe

Mtoto wa Nyerere alikuwa NCCR,Nyerere wala hakuumia kichwa... Leo hii unataka kufukia jalalani busara za Nyerere? Kwa ugwiji upi wa kisiasa ulio nao?

Mwinyi alitaka kuleta Tanganyika,Nyerere akamwambia ilani tuliyokupa haina hiyo hoja,umeitolea wapi? Leo ilani INA hoja ya mimba za wasichana,unaikataa,kwa hiyo kwenye kampeni mlikuwa mnawadanganya watu? Ccm itwambie kwamba ilani yao iko kichwani kwako au wana kitabu maalum cha ilani kinachoongoza mambo mbalimbali ikiwemo Uhuru wa mahakama......

kimeo
 
Wakati mwingine huwa nashindwa kumuelewa Tundu Lissu mantiki za hoja zake.....lakini naheshimu maoni yake kama ambavyo katiba inamruhusu......
Huwezi elewa mantiki ya lissu kwa kuwa ili uweze kumwelewa lissu lazima use na uelewa mpana Wa kutambua na kuchanganua mambo makubwa.kama wewe ni kilaza huwezi muelewa zaidi ya kumshabikia magu

Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA wasipokuwa makini wataishiwa kususiwa wao na Watanzania.

Tanzania haijafikia kabisa viwango vya kususiwa na jumuia ya kimataifa.

Sasa huyu so called 'msomi' ndo anataka nchi isusiwe?

Kwa minajili gani hasa?

Mtu yupo Tanzania na ana uhuru wa kumzungumzia hivyo rais aliyepo madarakani halafu anataka nchi isusiwe?

Hata hiyo jumuia ya kimataifa ikimsikia itamcheka kwa dharau nyingi sana.

Huyu jamaa mdomo wake hauna breki!

He is a demagogue on steroids!
Mtasusiwa nyie na maigizo yenu,ukanda,ukabila,ufamilia ndio uliotawala sasa.si umemsikia lissu,tuambie kipi cha uongo alichoongea hapo.

Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom