Video: Tundu Lissu akihutubia TLS Arusha 31/08/12

Hapa nadhani palikuwa ndio mahali pake kuanika udhaifu wa mamlaka za uteuzi katika discipline ya sheria. Tena nahisi kama alikuwa anajitahidi kuwa much more ethical otherwise angeuuanika udhaifu zaidi kwa kuwaumbua especially raisi na jaji mkuu
 
Siamini kuwa hii ni bahati mbaya au imetokea tu mahakimu na majaji kupewa nafasi wasizozistahili, nadhani hapa watu wanawekwa kimkakati kuipanga tasisi ya Mahakama ili kurahisisha ubadilishwaji wa mfumo wa mahakama yenyewe in favour of mahakama ya kadhi.
 
Hotuba nzuri naona anaendeleza alipoachia bungeni. Hivi youtube una-download kwa namna gani ninataka kukisave hiki kipande cha hotuba kwenye laptop yangu?
 
Mh. Tundu Lissu akimwaga cheche zake kwenye mjadala wa katiba mpya na uchaguzi wa Majaji wa mahakama kuu Tanzania kwenye mkutano wa wanasheria uliofanyika jana Tarehe 31/08/12 katika ukumbi wa mikutano AICC (Simba Hall) mbele ya Jaji Warioba, Jaji Mihayo, Jaji Makaramba.. mkutano huo wa siku mbili unamalizika leo mchana na unahusisha wanasheria na mawakili wote Tanzania..Hotuba yake nzima ntaiweka hvi punde!!

[video=youtube_share;gVKt8aDXdaw]http://youtu.be/gVKt8aDXdaw[/video]
Kumbe Tundu Lisu Mwanasheria nilikuwa sijui maana sioni tofauti kati Yake na Mimi nisiyekuwa mwanataaluma hiyo Katika kuongea kwako.
 
Back
Top Bottom