Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

Jamaa kagoma kumsamehe...hata waliomchongea wanasaidia kumwombea msamaha ila ngoma bado mbichi.

Wao kila Jpili wanaomba msamaha, ila kuwasamehe wenzao hilo suala halipo.
kama tusipowasamehe wanaotuudhi nae Baba wa mbinguni atotusamehee makossa yetu nasi twasali bure
 
Unashindwa kumlea mama nababa ako kwenu huko ,wamechakaa kegete zinawamaliza ,unakuja kuleta upumbavu wako kuhusu mwanaume wakweli...namfananisha LA Rambo au damme wakiwa ktk operation ngumu....kabendera yuko ktk operesheni ngumu yaukombozi wa wa Tanganyika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamsaidie basi kwenye hiyo operation
 
Sijui Pascal Mayalla akimuona hivyo anajisikiaje...
Btw, karma is bitch...


Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda alishalipwa ujira wake,anakula wine tu huko mtaani.

dodge
Tuambieni Kosa la pascal ni lipi? Kuleta habari za magazeti ya nje hapa jukwaan?

Halafu habari za hilo gazeti zimeletwa na watu wengi tu zaidi ya Member watatu nimewasoma wakinukuu hicho chanzo.

Watanzania tuache unafiki, wakati Mayalla analeta hapa hizo habari mlikuwa mnaunga mkono na kusema huo ndio ukweli wenyewe kuhu Rais Magufuli baada ya kuona jamaa kadakwa mnajifannya kumuonea huruma.

Labda Kosa la Mayalla ni kupita pita kwenye vyombo vya habari vya nje na kutuletea habari humu jamvini kitu ambacho watanzani wengu wavivu hawawezi kufanya.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwahiyo unaona sawa kwa anachotendewa?mnataka ukweli usisemwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sawa,hata kama naona hivyo nothing i can do.Yeye ndo aliesababisha maana hakuchanga vizuri karata zake,hayo malipo alitakiwa yalipwe kupitia account nyingine kabisa ambayo yeye asingehusishwa moja kwa moja.Au wangekuwa wanamlipa mkono kwa mkono hapo hakuna ushahidi.
Naamini umenielewa.
Unafikiri wale waliochukua pesa za Escrow kwenye Lumbesa ni wajinga?Walikwepa mambo kama haya.
 
Jaman daaah Tuacheni utani , huyu jamaa amechakaa sana anatia huruma. Basi tu

Video sekunde 16
View attachment 1321554
Kachakaa! Nini wewe? Ulitaka anyowe kiduku na 'O' cut za urembo akiwa mahabusu? Ngonja akomae!

Huku vijijini tumechakaa kuliko yeye wakati hatuko mahabusu tukitambaa na maisha. sasa yeye unataka awe mrembo eti!
 
Sio sawa,hata kama naona hivyo nothing i can do.Yeye ndo aliesababisha maana hakuchanga vizuri karata zake,hayo malipo alitakiwa yalipwe kupitia account nyingine kabisa ambayo yeye asingehusishwa moja kwa moja.Au wangekuwa wanamlipa mkono kwa mkono hapo hakuna ushahidi.
Naamini umenielewa.
Unafikiri wale waliochukua pesa za Escrow kwenye Lumbesa ni wajinga?Walikwepa mambo kama haya.
Hakuna al iyechukua pesa za escrow kwa kificho, pesa zote ni halali na waliochukua walilipwa pesa halali
 
Back
Top Bottom