VIDEO: Somo la Obama kwa vifutu wa awamu ya 5 wanaojimwambafai, kindness, compasion does not make you weak

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Awamu ya tano imeshuhudia watawala wenye dharau na roho mbaya kupita kiasi, huku wakiamini ukatili wao, majibu ya kejeli majidai ndiyo yanawafanya WAOENEKANE STRONG MEN NA wachapa kazi
kwa mfano kuna mmoja ambaye mama yake alikua muuza vitumbua maarufu leo kapata ukuu wa mkoa kichwa kimemvimba anatanua mabega ametunaaa, mdomo wake unatoa cheche za chuki na majivuno HADI HIVI KARIBUNI AKAFIKIA HATUA YA KUMPIGA MKWARA RAIS MSTAAFU JK baada ya ile kauli ya kujimwambafai.

Kwa VIFUTU VINAVYOJIMWAFAI angalieni hii eulogy ya Obama kwenye mazishi ya Elijah Cummings labda mtaelewa na hii ni kama mnajua kiingereza maana wengi wenu hata vyeti na majina siyo yenu.
 
Huyu Obama aliye sababisha Libya kuwa hivi leo?Mkiwa mnatoa mifano muwe mnatafuta watu walio clean pumbavu zenu
isingekuwa rahisi kama hakukuwa na matabaka yaliyotengenezwa na Ghadaffi,unadhani ilikuwa mswano tu huko libya kama tunavyodanganyana?
 
Nawe pia bila kujua, unajimwambafai kwa kutunisha kakijifua mbele ya rais wa mkoa.
 
Back
Top Bottom