EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
Shuhudia mwenyewe video hii
MORE UPDATES
Mwita Waitara azungumzia mpango ulikuwaje
Slaa azungumzia tukio la tindikali
Mwigulu akiri kuna kambi
KATIKA hali inayoonyesha Chama cha Mapinduzi (CCM) kinafanya kampeni za kijasusi katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kimekiri kuwa kimewaweka kambini vijana 386 kwa ajili ya kupata mafunzo maalumu.
Wanadai tumeandaa kambi zaidi ya moja, si kweli, tunayo kambi moja kule Ulemo. Mbona wao CHADEMA wameamua kuwaleta mawakala wa kuhesabu kura kutoka vyuo vikuu? Sisi tukasema hapana, tutawatumia vijana wa Igunga, tukapita kwenye vijiji vyote 96 tukawachukua vijana wanne kila kijiji".
Alisema vijana hao wamekusanywa kutoka vijiji 96 vya jimbo hilo. Kambi hiyo ya vijana imewekwa katika eneo la Ulemo, wilayani Iramba. CHADEMA inadai lengo la CCM ni kuwapa mafunzo ya kigaidi kwa ajili ya kuiba kura na kuanzisha vurugu siku ya uchaguzi.
Gazeti hili limepata habari kwamba kambi hiyo ya wiki moja, ilifungwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM (UVCCM), Martin Shigella, wiki iliyopita, Septemba 9, mwaka huu, na itafanyika tena wiki moja kabla ya uchaguzi.
(Tanzania Daima)

Last edited by a moderator: