Video: Simba wanatuloga mbona wao hawana majeruhi

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
Simba wachaaawiiiiiii ,miaka minne hatuna ubingwa tuna stress sisi kila siku wachezaji wetu wazuri wanapata majeraha...hayo ni maneno ya LE GENERAL UTO MASTER UTOPOLO muanzilishi wa jina mujarabu kabisa la utopolo

View attachment 1838346
Utopolo wote wako hivyo kuanzia viongozi, wachezaji,wanachama na washabiki,uwezo wao wa kufikiri ndiyo umeishia hapo
FB_IMG_1625214394973.jpg
 
Back
Top Bottom