Video sikiliza maneno ya Nape: Nape sauti ya Kikwete, Ikulu itaweza kumjibu Lema?

Mkuu wa nchi anatoa matamko kupitia Nepi, tuliya puuza baadae tunaona mwenyekiti wake anayarudia...nikakumbua aliwahi kusema sauti ya Nape ni sauti yangu( Kikwete)...

Huyu ni wa kumpuuza mkiendelea kumjibu inaonyesha nyie mnacheza ngoma za Nepi anazo piga.
 
Back
Top Bottom